Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mtoto wa miaka 10 tayari ugumu wa maisha kashaonja serious MLDC😳😳😳

 
IMG_20181107_172856.jpeg
 
True...eti wanapost slums.na km slums ingekuwa inaathiri uchumi wa nchi...basi hta DRC wangelikuwa juu ya kenya sai wakipepea...hawajiulizi kwnn slums ziko katika nchi zenye uchumi bora tu..like south africa...nigeria,egypt,Morocco,and even in the US..I don't know y tanzanians they always never accept a fact
Kwahyo hapo mathare mnapumulia shift ili wale wa karen waendeshe vogue?nyie ni watu au wadudu sasa,unajitekenya nn kwani nani asiependa kuishi kwenye nyumba nzuri...mawabagua hao wa matopeni kama sio wakenya vile
 
5 years to learn economic studies na asielewe chochote?acha kudharau watu. Nimekushangaa jamani. Unaweza jua kuscreenshot aje na usijue ku~upload?kindergarten kids can even upload pics. Acha kujiibisha bana
I tried to be honest,I just told you reality,..not only kindergarten kids but also guys who didn't go to school can upload pics,knowing how to upload pics ain't big deal for me,but for you dumb Kenyans..very simple!
 
Mr wowowo what do you gain by posting about vifo vya wakenya. Nilikwambia umshukuru Rabana maana waja hawafi huko bongolala. Sisi wakenya Tunaamini kwamba hata tukifa tutaishi tena.
 
Lucy wewe ni kilaza. Hebu soma chenye umeandika hapa.Nitapikia Mme wangu nikiolewa. Hilo sikatai. Naomba unieleze kuhusu, real GDP, nominal GDP and per capita
Kumbe hujaolewa..!!wanaume tupo...nilishakwambia nataka uwe mke wangu wa pili,kwa nini muda wote we uko serious tu!!
 
Back
Top Bottom