Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waambie watoe hio bandari alaf uone mombasa inabaki na nini yani hakuna maendeleo mombasa ni mji ulionza kujengwa enzi na enzi lakini hakuna kimoja chenye maana
Taja kampuni zenye ziko dar+plus real estates,infrastructure,hotels tupambanishe
 
kisumu ina qualifies gani kua city??? and what about mombasa ukitoa port ambayo tayari mushatangaza kuiuza kisa madeni yametengeneza funza matakoni???
Hhhhh!!!kwhyo port ndio mombasa... ...ni sawa na kusema dubai ni burj khalifa..
 
Hizo nyumba zenu zawaeza hesabika hebu angalia hapa chini ukamatwe na wivu kama kawa
South C
1541584485065.png


1541584560598.png

Hii ya mwisho hapa chini ni kukumbusha vilaza kama wewe hatumo ligi moja. If you have the guts try posting a 12
1541584485065.png
1541584560598.png
1541584652572.png
lane highway in you Tanzagiza shithole.
1541584652572.png
 
Andamaneni nyie wenye maisha magumu,njaa kali,hamna ajira,sisi huku freshi maisha yetu si magumu kama mnavyodhani, tuandamane nini sasa?..
Hhhhh!!!mnaogopa kuandamana...yani siku mkijaribu jiwe atawapa kila mtu risasi ya kichwa..mnacheza na dictator nyinyi
 
MN

kwani gdp yetu ilipungua from 88 to 72 lol.....
Haijawahi kuwa 88 never,IMF wenyewe wanashangaa inakuwaje kenya wana GDP ya bil 88 usd!!..katika ripoti yao ya 2017 wametoa Kenya ikiwa na GDP ya 72 USD bill,ikifuata tz ikiwa na 55,huku Nigeria ikiongoza,inafuata afrika kusini,Egypt nafasi ya tatu,tell 'em your fellow Kenyans that "economic analysis is not for everybody, knowing how to upload a picture in jamiiforums,helps nobody to put themselves nearby the economic issues!
 
Wanatokea baadhi ya wapuuzi wakikenya eti nao wanajiona bora

Kweli haya mazingira ni yakujivunia sehemu ni mbovu tena chakavu nazinatia kinyaa yaani zunguka TZ nzima hauwezi kukuta uchafu kama huu,,mathare nairobi,kayole nairobi,majengo nairobi hivi hivyo vibanda kwa jinsi vilivyokuwa na low quality vibaya halafu serikali yenu inaweka watu waishi na ndiyo maana majengo yenu yanadrop hovyo....

STUPID KENYAN STUPID LIFE
AT

NAIROBI CITY
View attachment 924390View attachment 924391View attachment 924392View attachment 924393View attachment 924394View attachment 924395View attachment 924396View attachment 924397View attachment 924398View attachment 924399View attachment 924400View attachment 924401View attachment 924403View attachment 924404View attachment 924405View attachment 924406View attachment 924407View attachment 924408
Sawa tumeshajua ldc hii kwao ni good life
tapatalk_1540668684992.jpeg
3233303465_a521391677_z.jpg
800px-Pit_latrine_in_Tandale%2C_Dar_es_Salaam_(3233304431).jpg
3233304341_519bd494fc_z.jpg
8234692346_a64be3d6ec.jpg
8233630933_528034662a.jpg
8233534455_52f1c3ed23.jpg
 
mabanda vya nyuki sio siri mnamazingira machafu sana mabovu yaani 70% yawakenya ni machokoraa
Hizo nyumba zenu zawaeza hesabika hebu angalia hapa chini ukamatwe na wivu kama kawa
South C
View attachment 924452

View attachment 924453
Hii ya mwisho hapa chini ni kukumbusha vilaza kama wewe hatumo ligi moja. If you have the guts try posting a 12View attachment 924452View attachment 924453View attachment 924454 lane highway in you Tanzagiza shithole.
View attachment 924454
 
Back
Top Bottom