Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo gdp ni ya lini...
Na hyo growth 7% mvna sielewi mimi...tangu 2016 mnachezea 50s
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimei-screen shot website ya IMF data 2017,but I don't know how to upload pics...
In east Africa only Ethiopia have bil 80 usd GDP per capital..
 
Yaani ni noma sana ...wakenya niwapuuzi sana wapo na mazingira mabovu sana halafu wanakuja hapa wakijifariji kwa status ya MLDC[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Basi wapuuzi ni hao waliotuweka kwenye hyo ramani..bali si wakenya..au watka kusema tumehongana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Picha ya miaka 10 iliopita inakufariji....Hio barabara sasa hivi ni 5-lane na majengo unayoyaona yameisha, tafuta picha latest acha kujifariji ujinga.
2018 nov
Screenshot_2018-06-25-10-41-26-73.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuko 2018 na wengine wako 2004.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Celtel iliwacha kutumika mwaka gani kenya,??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 924188
ukiwa na maana kua hakuna taxi baiskeli in kenya hebu nijibu leo nikubananishe kindaki ndaki😂😂😂😂👏👏👏👏
 
hahaha.....posting kenyan informals wont help their course
True...eti wanapost slums.na km slums ingekuwa inaathiri uchumi wa nchi...basi hta DRC wangelikuwa juu ya kenya sai wakipepea...hawajiulizi kwnn slums ziko katika nchi zenye uchumi bora tu..like south africa...nigeria,egypt,Morocco,and even in the US..I don't know y tanzanians they always never accept a fact
 
asante kwa kuokota picha za google😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏 sasa tuletee na google earth ikionesha hzo slum kama hiii hapa 👇👇👇👇👇💉💉💉💉💉

na ukileta tu nafunga account jamii forum trust me😆😆😆😆😆😆😆
E0E02425-4529-4393-A68E-C3310CDA7650.png
 
Back
Top Bottom