Si unapost picha za kwenu na post za Nairobi...twende kazi hii ni Nyayo estate middle class embakasiHahahaha!!!. Yaani ninawaomba wenyewe wapost maeneo ya Tandale halafu sisi maeneo yao.
Nliwaambiaga nje ya cbd hakuna anyUpanga Dar es salaam
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe Unahitaji Kuzaliwa upyaNliwaambiaga nje ya cbd hakuna any
We ulisha kosa form...Wewe Unahitaji Kuzaliwa upya
maana aliye kuroga kisha kufa
Kwikwikwikwi.we all know that Dar is Slum... and would not stoop so low to download their slum pictures coz we are the bigger brother here. get yourself out the LDC first then come talk to us. Msongo: Dar-es-salaam most dangerous areas
Tuma suburbs bana si wasee huishi suburbs.. Tuma nmeshatuma nyayo na Niko na suburbs 20Kwikwikwikwi.
Hapa ni 30km from NairobiKwikwikwikwi.
Nimetuma Karen na Muthaiga na HurlinghamTuma suburbs bana si wasee huishi suburbs.. Tuma nmeshatuma nyayo na Niko na suburbs 20
Unaona Annael amepotea ikikuja suburbs.... Utaona ataanza kutuma kibera..hapo ndio utajua mungu hakubariki kila m2 na akiliNimetuma Karen na Muthaiga na Hurlingham
Hawa sioni progress
Nikisoma comment zenu huwa nacheka sana. Nimewaambia muweke picha za maeneo ya normal citizens. Mnagoma kwikwikwikwi.Unaona Annael amepotea ikikuja suburbs.... Utaona ataanza kutuma kibera..hapo ndio utajua mungu hakubariki kila m2 na akili
We unaongea nnKwikwikwiiiii naipenda dar lkn hatuifikii nairob kwa kwel,,, Nairob inashka nafac ya tatu kwa mij bora afrika lkn dar ya nane tena tupewa nafac hyo kwa kuw ni mji unaokua kwa kas sana ko bado washkaj tuendelee kuukuza
Normal citizens huishi kwa suburbs...ndio maana nimekuambia utume picha za suburbsNikisoma comment zenu huwa nacheka sana. Nimewaambia muweke picha za maeneo ya normal citizens. Mnagoma kwikwikwikwi.
Hampiti Nairobi kwa jambo loloteWe unaongea nn
Maana sahv Dsm imeipita nairobi
Na majengo mengi yamekamilika mika hii miwili
Mi kote nimefika vzr2
Nairobi kwa barabara iko vzr sana na mpangilio wa city centre
Lkn DSM habr nyingine ukilinganisha na nai
Hizi story zote unaconfirm hakuna suburbs darKwikwikwikwi. Je unaweza kunipatia list ya streets ambazo ni mbovu kabisa huko Nairobi. List only 20.
Mwenye akili ataangalia jinsi CDB ya dar ilivyo kubwa kuliko ya nairobiDar 70% ni slum hii picha inathibitisha so usianze kujiconsole na tandale....tuma ma suburbs basi na Mimi nizitume pia![]()
Mixer ni picha ya zamani maana ata PSPF hayakuwepo wala TPA au rita na majengo kibaoKwikwikwikwi. Picha zimepigwa katika altitude tofauti kabisa.
Acha kujiaibisha. Hapa tupo na more than 500 pages huwezi kuja na maelezo simple kiasi hicho. Kila kitu tumeona. Sasa hivi twende kwenye normal life of citizens.