Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bongo
14700993_1328406543844463_2344780560619304442_o.jpg
[/QUOT

Bonge la view Dar es salaam tamu sana , Nairobi a.k.a city ya minara wapo nyuma sana
 
Kwikwikwiiiii naipenda dar lkn hatuifikii nairob kwa kwel,,, Nairob inashka nafac ya tatu kwa mij bora afrika lkn dar ya nane tena tupewa nafac hyo kwa kuw ni mji unaokua kwa kas sana ko bado washkaj tuendelee kuukuza
 
Mnamaneno mengi sana nyie?kama ni ujenzi ata Dar upo hakuna anaewasubiri

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Ila utakubaliana nami that Dar's skyscraper boom happened between 2010 and 2015 but still even after the boom you didn't manage to beat Nairobi. Nairobi's skyscraper boom is happening now - this phase will probably end in 2022 and trust me Dar won't have a thing on Nairobi then.
 
So far tumewazidi na tano. Toa hizo mbili unazoclaim hazijakamilika alafu uniambia tutakua tumewazidi na ngapi?
Matano hayafiki bana acha kuniibia basi,sikia walker,tunatazamia mengi kama ninyi, gap lililokuepo tumeshalipinguza sana kwa ukaribu,JPM atamaliza muhula wa kwanza FLYOVERS ,SGR, HIGHWAY Zime-tally ....issue ya maghorofa haitakua issue ya msingi kipindi icho!!
 
Muda si mwingi serikali itapunguza kasi ya kuijenga DSM na kuelekeza nguvu makao makuu Dodoma.NAOTA.
 
Muda si mwingi serikali itapunguza kasi ya kuijenga DSM na kuelekeza nguvu makao makuu Dodoma.NAOTA.
Budjet ya dodoma haitaiathiri Dar kivile 7bu bado Dar ndio mji mkubwa lazima wauboreshe,wanajenga SGR ili iwe rahisi kurudi town kula vinono!!dodoma vikao b bunge vikiisha wanarudi Dar wote, hadi dodoma wainvest uwe mji uliokomaa ni muda mrefu sana mbele
 
Back
Top Bottom