petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 809
- 945
Miradi mikubwa kama huu kwa Kawe city umesimama na ulikuwa umeshaanza na wa kigamboni city nao haueleweki umeishia wapi.
tutasema kila mwaka kwasababu maendeleo yanaenda kwa speed kila mwka na tanzania inabadilika kila mwaka😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀hahaha next year utakua ukisema Dar ya 2018
Matano hayafiki bana acha kuniibia basi,sikia walker,tunatazamia mengi kama ninyi, gap lililokuepo tumeshalipinguza sana kwa ukaribu,JPM atamaliza muhula wa kwanza FLYOVERS ,SGR, HIGHWAY Zime-tally ....issue ya maghorofa haitakua issue ya msingi kipindi icho!!
mtafungua accounts nyingi sana safari hiiiiiiiiiii😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mambo yamekua tyt sana🙂🙂🙂🙂🙂🙂Kwikwikwiiiii naipenda dar lkn hatuifikii nairob kwa kwel,,, Nairob inashka nafac ya tatu kwa mij bora afrika lkn dar ya nane tena tupewa nafac hyo kwa kuw ni mji unaokua kwa kas sana ko bado washkaj tuendelee kuukuza
aliekwambia umesmama ni nani???? au nioneshe mradi uliosmama unaongea tu kujifurahisha nafsi yako au??? ongea kitu ukiwa na facts uliza ujibiwe
.![]()
Miradi mikubwa kama huu kwa Kawe city umesimama na ulikuwa umeshaanza na wa kigamboni city nao haueleweki umeishia wapi.
kekKwikwikwiiiii naipenda dar lkn hatuifikii nairob kwa kwel,,, Nairob inashka nafac ya tatu kwa mij bora afrika lkn dar ya nane tena tupewa nafac hyo kwa kuw ni mji unaokua kwa kas sana ko bado washkaj tuendelee kuukuza
Ohio Street by indaressalaam, on Flickr
Ohio Street by indaressalaam, on Flickr
Ohio Street by indaressalaam, on Flickr
Ohio Street by indaressalaam, on FlickrSwimming pool ni beach...uko na shidasunrise beach bongo
View attachment 499087