Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanzo uko hapa kujisifia ujinga..dar kuna watu wengi sana hawana ardhi wala nyumba..miaka yote wanapanga..hvo ndo kunaendaga
Acha kupindisha mada, ardhi ndio rasilimali mama ya nchi yoyote ile duniani, ndio uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi, ndio urithi asilia wa nchi, lazima iwe ni Mali ya watu wote chini ya usimamizi wa serikali.
 
Wowowo... nimecheka si haba Leo. Bado nacheka. Just imagining how ichoboy looks like [emoji38] [emoji38]
An obese with big owowowo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kama ni me ni mchicha pori aiseeh!,nimejaribu kufuatilia conversation zako naona ni za kipungapunga tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hahahaaa,km mkikuyu ampendi mjaluo na mjaluo ampendi mkikuyu nyie mungiki ndio mtawapenda Watanzania,anzeni kupendana wenyewe kwanza kwenye nchi yenu nyang'au
Lol Kenyans can have their own issues but make no mistake.They unite against external aggression......that's why Michael Josephsaid Kenyans are peculiar people
 
haha... tanzania, ujuha mwingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…