Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
- Thread starter
- #41
Kwani kesi ipo mahakamani?Mbona hakwenda Mahakamani kupinga
Hizo ni proper gander za kisiasa mkuu..
Kwenye kampeni kuzushiana ni ruksa.

Nahisi umgeni, si ya hana haya.Kwani kesi ipo mahakamani?
Hizo ni proper gander za kisiasa mkuu..
Kwenye kampeni kuzushiana ni ruksa.
Wapinzani hawawezi kupinga mtu anapofuata taratibu za manunuzi. Kwa hiyo unadhani Kenya asingefuata taratibu wangemchekea kwa kuwa ananunua ndege tu.Sio kila wivu ni mbaya kuna nyivu zinazoleta faida na kuna nyivu zinazoketa magonjwa ya moyo na kadhalika.
Hatimaye wakenya wamefanikiwa kuwa na usafiri wa ndege moja kwa moja kutoka Nairobi(Kenya) mpaka New York(Marekani) Hongera sana kwa Uhuru Kenyata na wakenya kwa ujumla.
Haya mafanikio hayajanipa wivu...kilichonifanya niwaonee wivu wakenya. Ni hulka yao ya kupongeza maendeleo kwa mstakabali wa nchi yao.
Sijasikia wala kuona wapinzani (Kina Odinga na wenzake) wakipinga au kukosoa maendeleo haya.
Wakenya wote, matajiri kwa maskini wamefurahia na kuimba nyimbo za uzalendo. Kwa kweli nimeona wivu.
Ingekuwa hapa kwetu, kuna watu wapinga kila kitu wangetukana na kukejeli. Cha ajabu watanzania wengi wamempongeza Uhuru Kenyata wakati huo huo wakiponda shirika la ndege la Tanzania.
Wameshindwa kukumbuka kuwa kabla ya Magufuli kuwa rais, serikali haikuwa na ndege za abiria za kuaminika na shirika lilikufa.
Sasa shirika limenunua ndege kutoka Canada na Marekani watu wanakejeli eti hazitadumu mara mapanga...
Kwa kweli aliyeturoga kafa...
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRIKA.
MUNGU MUBARIKI MTUMISHI WAKO MAGUFULI MKOMBOZI WA TAIFA KUBWA LA TANZANIA.
View attachment 915620View attachment 915621View attachment 915622
Uzalendo siyo kujipigapiga kifuani kwa kujitapa kama mgonjwa wa kifaduro.Mzalendo hata akikaa kimya utamjua tu.Mayowe ya nini?Sio wana ccm, ni uzi wa kuwaliwaza watanzania wazalendo.
Kenya kila jambo linalofanyika linafanywa na serikali yawananchi wa Kenya na si serikali ya Kenyatta au ya Jubilee. Wakenya wanaheshimu sana katiba ya nchi ndivyo sababu mambo yao hayatekwi na vyama, tatizo hapa kwetu maendeleo hayaletwi na wananchi yanaletwa na CCM! Wakati kodi ni yetu sote.Sio kila wivu ni mbaya kuna nyivu zinazoleta faida na kuna nyivu zinazoketa magonjwa ya moyo na kadhalika.