Picha halisi: Hii ndio Mbagala

Picha halisi: Hii ndio Mbagala

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,441
Reaction score
38,417
Hii ndio Mbagala
IMG-20181031-WA0002.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sisi tuko busy na Posta yetu. Maana kila movie tutapaonyesha, akija Kagame tutamzungusha mtaa huu na kutokea upande wa pili lazima watakubali kazi.
Aiseee kwakusema ukweli Bongo vimejaa vibanda tu mitaani.
Huku uswahilini kwetu kuko hovyo lakini eti ndo jijini hapa.
 
Majiji ya wenzetu uswazi unakutafuta wakati huku kwetu 70% ni uswazi ushuwani unapatafuta
 
kuna wanaume wa dar halafu kuna wanaume wa mbagala
 
Back
Top Bottom