Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,414
- 3,679
bro,, umeongea ukweli kabisa... hata hapa pia, kutwa/ kucha tumeshinda tukizungushwa Posta tuuuuu hadi tumeukubali mziki. kisha wanasema wako na dream houses Bongo kumbe vibanda??? upuzi tuSisi tuko busy na Posta yetu. Maana kila movie tutapaonyesha, akija Kagame tutamzungusha mtaa huu na kutokea upande wa pili lazima watakubali kazi.
Aiseee kwakusema ukweli Bongo vimejaa vibanda tu mitaani.
Huku uswahilini kwetu kuko hovyo lakini eti ndo jijini hapa.