Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijamcheka kinafiki .Nimemcheka sababu sijawahi ona mwanaume anaringa kisa anakula chips. Halafu nimeongea kuhusu mafuta si kuhusunyama.mafuta hayawekwi chol. siku hizi.I said maybe he doesn't exercise after consuming these kin
nani anaringa nimekuonesha mfano wa chakula how chakula ghali kenya 😂😂😂😂👏👏👏👏
 
😂😂😂😂👏👏👏💉💉💉👇👇
EC1545B0-D856-4A38-93AF-78DD160C64D4.jpeg
17152083-3011-40F6-AC90-17BD69BDD17E.jpeg
 
Hovyo kabisa, huko kwenumuuzia MTU ardhi inakua ni Mali yake binafsi kama anavyomiliki gari, anaweza kuamua kuiacha bila kuifanyia lolote hata miaka 50, wakati wananchi hawana ardhi ya kuzalisha chakula na kufanya shughuli zingine za maendeleo, stupid.
Hhhh!!utaumia sana na kenya..unanunua ardhi unaifadhi baada ya mda unapandisha bei unauza...wacheza na capitalist wewe..
 
Hovyo kabisa, huko kwenumuuzia MTU ardhi inakua ni Mali yake binafsi kama anavyomiliki gari, anaweza kuamua kuiacha bila kuifanyia lolote hata miaka 50, wakati wananchi hawana ardhi ya kuzalisha chakula na kufanya shughuli zingine za maendeleo, stupid.
Mwanzo uko hapa kujisifia ujinga..dar kuna watu wengi sana hawana ardhi wala nyumba..miaka yote wanapanga..hvo ndo kunaendaga
 
Wowowo... nimecheka si haba Leo. Bado nacheka. Just imagining how ichoboy looks like 😆 😆
An obese with big owowowo 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom