Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuleni kwa macho! Unaenda US after usiku, unafika NYC 7:30am kukunywa breakfast NYC na Kurudi NBO super. Any time you wish to.
FB_IMG_15407989730588528.jpeg
 
UKHEKHE NYONGA INAKUTOKA KUSKI NYUMBA OYESTRBAY 20000 USD PER MONTH😀😀😀😀😀😀😀😀
NAKWAMBIA SIKU UKINILETEA NYUMBA INAPANGISHWA 5000 USD PER MONTH NYALI NAFUTA ACCOUNT JAMII FORUM
Nyomba 30 toilets 10..kwani hawa wengine wanashare loo??
 
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
You forgot something Anna.
No.16.witchcraft.
It was discussed recently and darislum won.
 
The battle is dar es salaam vs nairobi.
Not dar es salaam vs Nairobi metro..
The thing is very easy,I wonder why you guys get so hard to understand,think, you ve got something wrong upstairs!!
Afadhali sai naona unaanza kuelewa maana ya metro.....
Alafu sasa pia ujue daresalam ni mkoa nairobi ni coounty..na kenya mkoa mmoja nisawa na county tano sita hapo...thats y unakuta urban areas dar imechukua eneo dogo sana..kwengine ni km ni mitaa ya kwaida tu
 
kwa ndege za ku lease au??? wakat imechukua 2 yrs to buy cash 7 new brand aircraft hahaha kamuone daktari ma mishipa ya mikojo yani katika marais walioshangaza ulimwengu ni magufuli 2 yrs to buy 7 brand new aircraft tena cash heheh acha kabisa
Ulimwengu upi huo...
Na ile siku utaniletea idadi ya ndege za kq zilizokuwa leased na mwaka huo wa leasing..ntahama jf
 
Ulichokisema ni ukweli .....hawa wakenya wanajifanya kujitoa ufahamu
The land in tanzania is owned by the government..kwhyo ccm ndio wamiliki sai...
Unapangiwa mpka miaka ya kumiliki ardhi alafu hyo ikiisha u renew au km serikali inaihitaji iichukue na kuitumia kw mambo mengine...
Hhhhh!!!dictatorship
 
Yet they are ahead of you in everything. What a shame!!!!!
Hahahahahahaha, ahead on tribalism, insecurity, hunger, jobless, slums, corruption, killings, bigger gap between rich and poor, land ownership injustice, hatred among citizens 😳 😳 😳 😳
 
sio hivyo, kwanza nilidhani kuwa wewe ni mkenya, smahani sana lakini pia inasikitisha sana kuwa huna imani kwa mambo ambayo nchi yako inafanya, ndio maana nikasema hata mbuyu ulianza kama mchicha, USA haikuwa hivyo miaka mia tatu iliyopita, Israel haikuwa hivyo ilivyo miaka 50 iliyopita so ni progress
Tatizo lenu mtz akitoa maoni yake mnamuita mkenya au kusema si mzalendo
 
Afadhali sai naona unaanza kuelewa maana ya metro.....
Alafu sasa pia ujue daresalam ni mkoa nairobi ni coounty..na kenya mkoa mmoja nisawa na county tano sita hapo...thats y unakuta urban areas dar imechukua eneo dogo sana..kwengine ni km ni mitaa ya kwaida tu
Unajua nyie wakenya huwa mnaropoka na hata data hamna ebu nitajie ukubwa Nairobi county in sq kms,halafu nitakupa ya dar ili ujue tunapowaambia dar tunazungumzia city,hatuzungumzii ka-mji kama Nairobi ambako unatumia 6 hours kukazunguka na unakamaliza!
 
Back
Top Bottom