Middle upper na lower class tanzania hakuna. Wote tupo sawa. Tupo buguruni kibada na Mbweni msasani etcSijawahi jua middle class wa Dar slum huishi wapi sababu ukipost hiyo slum useme huko ndiko middle class huishi wanakata.....ukisema huko ndiko lower class huishi wanakata,sasa nimechanga nyikiwa kama Tanzania kuna middle class au hakuna