Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umenikomalia kinoma smh!,Mi mtz nimewaita wahusika waje kujibu kwani kuna ubaya?
sio hivyo, kwanza nilidhani kuwa wewe ni mkenya, smahani sana lakini pia inasikitisha sana kuwa huna imani kwa mambo ambayo nchi yako inafanya, ndio maana nikasema hata mbuyu ulianza kama mchicha, USA haikuwa hivyo miaka mia tatu iliyopita, Israel haikuwa hivyo ilivyo miaka 50 iliyopita so ni progress
 
Sidhan kama kuna mahala nimesema sina imani na serikali
Anyway kuamini au kutokuamini ni tendo LA hiari
 
Wakati Atcl ikitambuliwa na IATA, huku Koki anatupeleka moja Kwa moja hadi Kwa Trump.
All in all hongereni majirani ,can't imagine how Kenya tourism industry moving another more miles ahead!
Nilidhani ni kejeli hii nikaamua kuipuuza .Kama haya umeyatoa moyoni ni sawa
 
well said mkuu.. these people are the best corruptive ,tribalists, and have the poorest security when it comes to business .. i hate it
Mahindi, legumes, cooking gas, wheat flour, Azam goods including Azam TV just few to mention, but can't invest in Kenya because of corruption, tribalism, terrorism and poor security.
 
Yeahh
when-tomorrow-is-payday-on-inngur-at-last-19349859.jpeg
 
Back
Top Bottom