sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
kama ndo unataka hivi ngoja nikuonyeshe ligi
Usifikiri kuwa katika dunia hii kila kitu kimekamilika, Kuna homeless people begging in the streets of New York city lakini hawa wanajitahidi hata kuwa wabeba mkaa ingalau wapate kitu halafu wewe uanona ni hasara kwetu?
Hapo ni ferry either mkaa unavuka kigamboni au jamaa anaenda upakia bandarini kwenda zanzibar au visiwa vinginevyo... sioni cha ajabu hapo


. Hizi daraja zenyu ni useless ju ni too expensive yet only a few would use them. Si mkue kama kenya, develop the whole nation not your main cities.
Kenyans you need to catch up, Uganda and Tanzania have already reached another levelView attachment 906209View attachment 906210







Skia huyu msee. Nikama kusema Nairobi needs an Ocean to catch up.
Kenyans we need cable bridges to catch up![]()




so hutaki zanzibar iwe tanzania ryt![]()




na siku ukipata google earth inaongea habari ya slum dar nitag nafunga account jamii forumView attachment 906457






.
U mean Mombasa that dirty town with unpleasant smell, ule mji wa mashoga?
sikusema nbo bali nilitaja countries.Sasa NBO utajenga daraja ya kazi gani? Kuvuka mchanga ama?.Sasa mtu anaishi Kigoma na Jinja atasaidika aje na hizo daraja?. Hizi daraja zenyu ni useless ju ni too expensive yet only a few would use them. Si mkue kama kenya, develop the whole nation not your main cities.View attachment 907284View attachment 907285View attachment 907286View attachment 907287View attachment 907288View attachment 907289
Have you ever seen these Tanzanian ladiesView attachment 907111


ati nagai marathon....lol.we only do london boston berlin and chicago