mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
Pia jaribu kutofautisha hawa uniambie mwanamke ni yupi[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]View attachment 906972
Ni kwanini wakenya mnapenda kukataa ndugu zenu wakiwa katika hali mbaya???,nimesoma sehemu eti hata wale wakazi wa kibera ni wahamiaji kutoka somalia,na sudani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnamficha nani mzungu na malkia???