Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_8945.JPG
 
Hakuna cha westlmafi upper kichuguu wala kilimani Nbo Ni kelele ndio wanaweza ,kila siku hapa wanapost nyumba hazijakamilika sasa huo nao ni Mji wakupigia debe
Siku izi tumewabana unaliaLia kama mwanamke
 
unachagua siraha nugu!!!!!,si umesema without CBD,mimi ningetoa posta kwa list halafu nikuruhusu ulete nairobi nzima.
tukiwaambia bado hamuwezi mnapanick.
We mwenye haujawai post picha ata moja tangu ujoin jamii forums lakini kea mdomo haujambo
 
Hii Mada kiboko
Kuna muda wanaomba ifungwe
mara Wazire
hahaha lakini wapi
Zinafunguliwa Id mpya utumbo ni ule ule
 
unachagua siraha nugu!!!!!,si umesema without CBD,mimi ningetoa posta kwa list halafu nikuruhusu ulete nairobi nzima.
tukiwaambia bado hamuwezi mnapanick.

Soma kitu kwanza ndio urespond, malenge. Ni kusoma hujui ama ni ujinga tu?
Naona mtu aanzishe thread humu ya Nairobi without CBD, Upper hill and Westlands v Dar without CBD, Kariakor and Upanga ndio kieleweke. Hapo ndio watajua Dar Hamna kitu.
 
Hivi gari lako wakiondoa engine unaweza life misele?
Nairobi pia naondoa engine yake (Upperhill, CBD, Westlands) so nyie husema Nairobi imejengeka sehemu ndogo? Nataka tuone ukweli Wa mambo sasa. Naona mumepanic sana, ni kama mnajua kichapo mtapata ski kidogo.
 
huwa napata tabu kutofautisha mwanamke wa kikenya na mwanaume wa kikenya. maana naona sura zao ni kama wanaume.
Ila wanaume walio na pesa Tz kama Ali Kiba wanawaoa waschana Wa Kikenya huku watz wakibaki ma maskinj kama wewe.😀😀😀
 
Sasa cbd ya dar ni kariakoo na upanga???una mimba wewe.
Hivi wewe umeenda shule kweli? Alafu naona NDINDA an alike hiyo comment. Ni lugha huelewi ama ni ujinga tu?

Naona mtu aanzishe thread humu ya Nairobi without CBD, Upper hill and Westlands v Dar without CBD, Kariakor and Upanga ndio kieleweke. Hapo ndio watajua Dar Hamna kitu.

Ila siwezi kulaumu. Watz wenye pesa husomea Kenya. Education yenu duni. Simple grammar ni mlima kwenu.
 
Ebu niambie Dat kuna mini outside Posta, Upanga, Dirty Kariakoo na Kigamboni bridge?
Soma hiyo comment yako kwanza!!!baada ya kukwambia nitatoa cbd unataja upanga na kariakoo!!!
Hivi wewe umeenda shule kweli? Alafu naona NDINDA an alike hiyo comment. Ni lugha huelewi ama ni ujinga tu?

Ila siwezi kulaumu. Watz wenye pesa husomea Kenya. Education yenu duni. Simple grammar ni mlima kwenu.
Unesoma kwa ngazi ipi tuanze kuku charenge.wewe ndiye ulifanya swali moja la math siku nzima na unakata viuno hapa.
 
Soma hiyo comment yako kwanza!!!baada ya kukwambia nitatoa cbd unataja upanga na kariakoo!!!

Unesoma kwa ngazi ipi tuanze kuku charenge.wewe ndiye ulifanya swali moja la math siku nzima na unakata viuno hapa.
😀😀😀😀😀 hii kali anakata viuno huku akijibu swali la maths nafkiri kama nin hvo basi lazma aandike upupu humu ndani
 
Back
Top Bottom