Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


saanane mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_8923.JPG
 
wapi likoni inapumulia mipira ya mkojo asante mseven kwa kufata nyendo za nyerere bridge😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇wengine waliahidiwa likoni bridge miaka 30 iliopita😆😆😆😆😆✋✋✋


Tanzania, Rwanda na Uganda zinaenda kwa kasi sana hapa EA yaani alliance yao kwenye masuala ya infrastructure sio ya kawaida kabisa
 
Wewe vip dogo mbona unakosa raha na kitu usichoweza kukibadili???


Haya tufanye tanzania na zanzibar ni nchi tofauti.

Pumzika sasa.
Naona uko nje ya mada...hya na wewe waeza msaidia mwenzio pia...leta hapa muungano wa mombasa..manake mwenzako kashindwa...
 
Ukishajua history njoo tuendelee
Umeshindwa...heheeeee!!!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] case closed...nimekukamata...
Siku nyengine ukibashana na mm wacha uropokaji na stori za vijiweni
 
Acahana na hilo jinga, masikini wa kibera njaa tupu, amekuganda kama kupe. Mshauri akasafishe mitaro ya kibera kwanza akili imekuwa chafu kutokana na mazingira anayoishi.
Msaidie mwenzako wacha hasira...leo hapa hamtoki
 
2.5 peples in nirobi are slum dwellers,250k of them live in kibera.
Duh!!!yani huaga mnajichanganya wenywe...wengine 700k...mara 250k sai...
Mwanzo mlikuwa mkisema 2.5 ml people..
Yani mnajikosoa wenyewe tu kila kuchao..mwisho mtakaa sawa..hatuwalaumu..ni mishipa yenu haijakaa vizuri
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ahsante kwa kuelewa 250k dwell in kibera. What about the rest? 2.25M slum dwellers?in which slums do they reside?
Kila siku wanajichanganya jane...ichoboy leo leo ana homa kali sana...jana kakalia kuti kavu...nampa sindano nadhani dawa sai imeingia vizuri
 
Upload a picture showing Nairobi from above,no need of being that talkative!!!
Nairobi ya 2010 ndio mgelinganisha na dar 2018.......lakini Nairobi ya saa i??Ni Westland Vs dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ata tulishaa sahau tuko na downtown focus yetu ni Westland na upper hill [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1540065740260.jpeg
tapatalk_1540065712253.jpeg
tapatalk_1539818954049.jpeg
 
Ni nchi ya mama yako!!!..mtoto mdogo unakuwa jingajinga,sasa unasema Zanzibar ni nchi!!ni nchi ya wapi,umeshawahi kuona kiti cha Zanzibar kwenye mikutano ya umoja wa mataifa??
Wacha hasira...zanzibar hupiga kura na kumchagua rais mpka sasa...
Sasa mbna mwanza na arusha hakupigwi kura ma rais km zenji...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamtoki humu leo
 
Back
Top Bottom