unajua kwanini kwasababu tanzania haina mpango sana na kenya ndio maana hua shughuli nyingi zinazohusiana na wakenya zinapuuzwa sana serious am telling you😀😀😀😀😀😀Ukiona jinsi Embassy ya Tz ya Nairobi inavyokaa huwezi ongea unavyoongea sahii.😀😀😀
Kwani uelewa wako niofinyu aje? mimi naongea juu ya 40 floors bado unang'ang'ana na 30 za pale dar village?AHAHAHAHA over 30 zimekutoweni kamasi😀😀😀😀😀😀😀😀
NAKWAMBIA 30FLOORS ZIMEKUSHINDA JIBU SWALI😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kwani uelewa wako niofinyu aje? mimi naongea juu ya 40 floors bado unang'ang'ana na 30 za pale dar village?
acha kulia kama mtoto wa mama wewe mtoto wa kiume kulia kulia huo ni umama😀😀😀😀😀HUku ni wapi tena broadcast through tweeter.
Nai tuko na 40 floors nyie bado mko 30s kama kawaida nyuma ya Kenya.NAKWAMBIA 30FLOORS ZIMEKUSHINDA JIBU SWALI😀😀😀😀😀😀😀😀😀
nagana ni wapi ama ni ule ugonjwa wa kulala wa mbung'o unaowashika Wabongolala pale Miombo?acha kulia kama mtoto wa mama wewe mtoto wa kiume kulia kulia huo ni umama😀😀😀😀😀
Nai tuko na 40 floors nyie bado mko 30s kama kawaida nyuma ya Kenya.
Naona mtu aanzishe thread humu ya Nairobi without CBD, Upper hill and Westlands v Dar without CBD, Kariakor and Upanga ndio kieleweke. Hapo ndio watajua Dar Hamna kitu.
unajua kwanini kwasababu tanzania haina mpango sana na kenya ndio maana hua shughuli nyingi zinazohusiana na wakenya zinapuuzwa sana serious am telling you😀😀😀😀😀😀
Ebu niambie Dat kuna mini outside Posta, Upanga, Dirty Kariakoo na Kigamboni bridge?Hariri andiko lako kabla hujapost,hiyo battle unayoomba nairobi itabaki uchi sana,tunaweza ruhus hata kwa nai muweke cbd.
usisahau kunitag anakimbilia 40 wakat 30 zimemtoa uharo😀😀😀😀😀Iko wapi leta picha humu.
Ukiona Marathon haina Mkenya au Muethiopia hiyo sio marathon. Huo ni mchezo Wa watoto wa shule.HUku ni wapi tena broadcast through tweeter.
unachagua siraha nugu!!!!!,si umesema without CBD,mimi ningetoa posta kwa list halafu nikuruhusu ulete nairobi nzima.Ebu niambie Dat kuna mini outside Posta, Upanga, Dirty Kariakoo na Kigamboni bridge?
Hivi gari lako wakiondoa engine unaweza life misele?Ebu niambie Dat kuna mini outside Posta, Upanga, Dirty Kariakoo na Kigamboni bridge?
unaogopa kuni quote heheheh mwanaume muoga muoga huo ni umama😀😀😀😀😀😀😀😀Mwengine anapost picha ya Embassy ya US na tunaongelea ya Tz. Kweli kukosa akili ni kitu mbaya.😀😀😀😀