Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanga+kijitonyama+posta=[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 906389
Kijitonyama naona unaconfuse na mwananyamala utaumia bure bro
tapatalk_1538809535473.jpeg
 
Yetu kutoka jkia Hadi James gichuru itakua na sio flyover ka nyinyi sphagetti interchange tatu...
Wakati huo huo bullet train zitakua zinatema cheche bila kusahau JNIA T3 matumizi yatakua yameiva
 
Hazitoshi mboga kijana
Waliposti picha za cbd wakarudia,wakiita majina Mia moja na bado tunawapiga kichapo cha umbwa......sasa tukaenda kwa estate tuna waziika kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi ndiyo tunaona elimu na akili zenu zilivyo mbovu na ndogo trust me kuna zaidi ya watanzania z 2000 members wa hapa jf na wengine zaidi ya 50,000 hufuatilia huu uzi nakuona jinsi WAKENYA/NYANI mlivyo vilaza hasa hasa sijui MWASSAT,KOMORA,HAMSTER,JANEROSE,WEWE,MK15 etc.
Who told you to list me here? I can see mnatuogopa sana. If you want us out of here then kindly pull down the Kenyan forum. Little dunderhead
 
Waliposti picha za cbd wakarudia,wakiita majina Mia moja na bado tunawapiga kichapo cha umbwa......sasa tukaenda kwa estate tuna waziika kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Leta picha maneno achia wengine
 
Waliposti picha za cbd wakarudia,wakiita majina Mia moja na bado tunawapiga kichapo cha umbwa......sasa tukaenda kwa estate tuna waziika kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]

we toa povu lakin CBD sio size yako na haitakua size yako mpaka yesu ashuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimenotice sikuhz inapicha Za Dar nyingi kunizidi [emoji23] [emoji23] ,iyo westy naipa miaka 100 ifikie Posta
Picha huwa inaongea a thousand words s kama hapa chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20180912_031745.jpeg
tapatalk_1539818954049.jpeg
 
Back
Top Bottom