Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lile jitu lililoleta huo mtihani hapa halijui chochote. Nakumbuka nkifanya hesabu moja ila nilipouliza kama nimepata wakanyamaza. I know I got the answer correct.

Sasa nileteeni C.A.T iliyofanywa na watoto wa UDSM

speaking of cats my first cat in uni nilipata 3 out of 30......hapo ndio niliwacha maneno ya kurave hadi sem iishe .....lol.Nilijiredeem cat 2 na 20 out of 30
 
Nimerudishwa na yule kilaza aliyenikosea heshima. Mbona hamkunipa jibu. Nilipata ile hesabu au la
Umeambiwa kufanya paper yote siyo swali moja. Fanya kwenye karatasi tupu kisha piga picha tutakupatia majibu yake na marks ulizopata.
Unataka vitu vikubwa wakati vidogo huwezi!!?
 
Bado hii si hoja.Hapa siongei kwa ajili ya Mkenya wala Mtanzania.Unaweza pia badili hizo alama ukaweka mawe.Nilitazama mtoa mada anataka nini basi hapo ndipo msingi wa hoja yangu inapoanzia.

Hii hoja ya Wakenya kule au huku wanafanywa hivi haikuwa hoja.Aidha, hapo hunisaidii,labda unajiridhisha tu kisaikolojia, maana hata mimi naijua Jamii Forum pia.
kwa hiyo hoja yako ni nini?. tuanzie hapo kwanza ili nijue unachokisimamia maana hueleweki.
 
Vp mbona kuna members wengi huku wapya wakina housemaid na wengi nao.
 
Dawa ilikuingia kilaza. Umelia sana leo. Kazi yako ni kunipachika majina .si next time utaniita kahaba .It's very easy to predict your moves. Smh
 
Teh teh i did PCM in A level and scored Division I also took lots of Math modules in university ila Maths sina hamu nayo kabisa. Hapo nimeona hizo paper hadi kichwa kimeuma.
 
Unataka kuombwa tu msamaha....? Nyani wakenya nisamehe hahahahahahahahahaha.
Ok.did I even quote you in the first place? Umeniquote kwa nini na hujui kinachoendelea. Wewe ni nyani kilaza. Sema tena na tena nyani kilaza. Unakuja unaquote komenti za watu ovyo kwa nini? Mbona hao wengine wanazipata hapo na kuziacha? Ilikuwa ni sadfa tu tukataipu wakati mmoja. Sio eti hiyo komenti ilikuwainakulenga. Next time don't rush to do things without thinking. Na usisahau kujikumbusha kwamba wewe ni nani? Nyani kilaza. Nyani? Eti nyani nini? Nyani kilaza
 
Wewe ni nyani tu unisumbui kichwa tena nyani kutoka failed state hahahahahahahahahaha unisumbui kabisa.
 
Back
Top Bottom