Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael always claims to know everything..Kadoda is a old mzee who knows history and umbeya...I can give them a challenge hapa watoroke
Hawajui chochote. Sasa kama mtu anaamuru watu wamletee visiwa vya Nairobi, huyo amesoma kweli? Vitu vya class 4kenya wanafunzwa form 3
 
Zingatia:

Sipingi mjadala, hoja yangu imejikita kwenye namna ya kujadili.Umetaja "tafakuri tunduizi", yani, critical thinking.Hili ni jambo jema,lakini, mijadala ya kukuza tafakuri tunduizi huwa haikai kiunazi tu.Kwamba mimi zaidi, wewe umechoka bila kutoa hoja zenye mashiko.

Hata hivyo, baada ya kufuatilia mjadala,nimegundua hakuna hoja, ni suala la kujifurahisha nafsi tu. Mkenya au Mtanzania atakaezidiwa kwa maneno atakuwa kashindwa.Kesho tunaendelea.

na labda tu nikusaidie, jamiiforum ndio platform pekee ambayo wakenya wanapata friendly discussion na tanzania.

licha ya kurushiana vijembe na utani wa hapa na pale, jamiiforum ndio mahala pekee mkenya ana enjoy kujadiliana kirafiki na watz.

hapa pana ustaarabu sana wa kudebate,
sehemu zingine kama nairaland na twitter ni vurugu tupu.wakenya wanacharulana kila siku na wanejeria tena kwa namna ya kudhalilishana mno.

so speaking about "unazi", you haven't seen the real unazi yet until you come across a hot discussion between kenyans vs nigerians.
 
Msapere twende kazi
nimefurahishwa na mjadala wa leo kati wakenya na watanzania ulioangazia masuala ya elimu.

baadhi yetu hatujazoea ku-argue kwa porojo, tunapenda facts.

nilichogundua kwa wakenya ni kwamba kila wanachofafanuliwa kuhusu elimu yetu ya O-level(form 1 up to form 4) na high level(form 5 up to form 6) huwa wanadai eti wamesoma tangu wakiwa sijui primary sijui wakiwa form 1 and blablabla.

sasa twende kwenye practical, tusipige porojo.vitendo vizungumze zaidi kuliko maneno.

naleta kwenu advanced mathematics national examination paper for form six student that was held in tanzania on may 2018.

nataka wale wakenya waliobobea katika mathematics wa solve maswali katika papers then watuonyeshe equations and solutions walizotumia kupata majibu.

uzuri jamiiforum imekusanya magwiji wa kila fani.magwiji watakuja kuthibitisha kama majibu ni sahihi au lah. porojo zikae kando kwa mda.

housemaid we don't need your excuses and blablabla here, solve these questions pls.
View attachment 891155View attachment 891156View attachment 891157View attachment 891159
copy to Kijibabu
 
1539088515124.png
 
Msapere twende kazi
here is another national exam for form six students in tanzania.

subject : physics
examination date : 10th may 2018
View attachment 891245View attachment 891246View attachment 891247View attachment 891248View attachment 891249View attachment 891250View attachment 891251

kenyans you need to answer these questions one by one. you must also show us all the equation and solution on how you have obtained answers.

prove to us that your secondary education is better than ours.
 
i was forced to come 🔙 here
Someone is misbehaving.
You better stop provoking me .

I wonder how you relate with that kind of attitude
Kitoto kichokozi
 
na labda tu nikusaidie, jamiiforum ndio platform pekee ambayo wakenya wanapata friendly discussion na tanzania.

licha ya kurushiana vijembe na utani wa hapa na pale, jamiiforum ndio mahala pekee mkenya ana enjoy kujadiliana kirafiki na watz.

hapa pana ustaarabu sana wa kudebate,
sehemu zingine kama nairaland na twitter ni vurugu tupu.wakenya wanacharulana kila siku na wanejeria tena kwa namna ya kudhalilishana mno.

so speaking about "unazi", you haven't seen the real unazi yet until you come across a hot discussion between kenyans vs nigerians.

Bado hii si hoja.Hapa siongei kwa ajili ya Mkenya wala Mtanzania.Unaweza pia badili hizo alama ukaweka mawe.Nilitazama mtoa mada anataka nini basi hapo ndipo msingi wa hoja yangu inapoanzia.

Hii hoja ya Wakenya kule au huku wanafanywa hivi haikuwa hoja.Aidha, hapo hunisaidii,labda unajiridhisha tu kisaikolojia, maana hata mimi naijua Jamii Forum pia.
 
Back
Top Bottom