Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kinachojadiliwa hapa ni nin? Mbona sielewi elewi?
Mara wengine wanatukana smh!
 
Wewe ni nyani tu unisumbui kichwa tena nyani kutoka failed state hahahahahahahahahaha unisumbui kabisa.
Natumai nimekuelewesha vizuri. Haina haja kunitusi. Angalia aliyekomenti mbele yako. Huyo ndiye alikuwa mlengwa. Tunajibizana naye kwa mbali without quoting each other. Nakushawishi uende through the comments utaelewa ninachosema.
 
Hivi kinachojadiliwa hapa ni nin? Mbona sielewi elewi?
Mara wengine wanatukana smh!
Sorry. Can you please try to explain to your younger brother Poweltz what am talking about. Seems he understand nothing. He just quoted my comment and insulted me .he is oblivious of what's going on
 
Westland Noma sana
Btw hii ni Bongo muache kupaa
tapatalk_1539009007193.jpeg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Poa ,but take it easy
It's alright. I don't blame him. There must be something very wrong with his background and the way he was brought up. Majority of Tanzanians are very dumb. I think he leased his brain somewhere. He has just logged in now so there is a probability he has resumed brainless. Lile tusi anajua pekee ni nyani.
 
Janerose wanafunzi wengi waliohitimu form four hapa Tanzania lazima wasome masomo haya saba
1.Mathematics 2.Geography 3.Civics 4.English 5.Kiswahili 6.History 7.Biology

Ila baraza la mitihani linaruhusu mwanafunzi wa form four kufanya mitihani kumi tu na sio zaidi
Kwahyo masomo ambayo unaweza ongeza ni kama ifuatavyo
1.Physics 2.Chemistry 3.Bookkeeping 4.Commerce 5 agriculture 6.French 7 Nutrition 8 additional mathematics!!

Yale saba ya lazima plus matatu katika machaguo ya pili au mawili Au moja kulingana na uwezo wa mwanafunzi na shule anayosoma

Kwa wale wanaosoma technical schools hua na masomo yao kadhaa siyafaham vizur
Kwa kuongezea hapo Ukichaguliwa technical school somo la history halisomwi kabisa. Pia physics ipo tofauti kidogo inaitwa engineering science. Halafu ukifika form 3 inabidi uchague kati ya biology na geography. Hii yote ni kwa sababu inatakiwa jumla ya masomo isizidi kumi.

Kwa masomo ya engineering yamegawnyika kama ifuatavyo

1 - CIVIL ENGINEERING hapa wanafunzi wanaganywa makundi matano
.- carpentry & joinery/woodwork (fundi seremala )

- plumbing (fundi bomba )

- Masonry (fundi uwashi )

-painting (fundi rangi )

- Surveying (upimaji )

Kuna masomo mawili ambayo wanafunzi wote wa civil wanasoma. Masomo hayo ni BUILDING CONSTRUCTION na ARCHITECTURAL DRAUGHTING

2 - MECHANICAL ENGINEERING
hapa wanafunzi wanaganywa makundi matatu
- Motor vehicle mechanics (mambo ya magari )

-Fitting & TURNING (huhusika na utengenezaji wa vifaa vya kuunga kama screws )

- Welding & Metal Fabrication (uchomeleaji )

Wanafunzi wote wa mechanical engineering ni lazima wasome masomo mawili ambayo ni WORKSHOP TECHNOLOGY na MECHANICAL DRAUGHTING

3- ELECTRICAL ENGINEERING
Hapa wanafunzi wanagawanywa makundi mawili

-Electrical installation (hawa huhusika sana na usukaji wa umeme )

Electronics/ Radio & TV servicing (hawa huhusika na utengenezaji wa vifaa vya umeme )

Wanafunzi wote wa electrical engineering ni lazima wasome ELECTRICAL ENGINEERING SCIENCE na ELECTRICAL DRAUGHTING

Mwisho wa siku mwanafunzi anafanya NECTA kwa masomo kumi (saba ya kawaida na matatu ya ufundi )
 
It's alright. I don't blame him. There must be something very wrong with his background and the way he was brought up. Majority of Tanzanians are very dumb. I think he leased his brain somewhere. He has just logged in now so there is a probability he has resumed brainless. Lile tusi anajua pekee ni nyani.
Kua makini sana we read between lines so don't mention watanzania katika any abusive language, kama kuna mtu anakutingisha jaribu kua neutral usipambane sana hadi unatugroup wote katika hasira zako,unaweza deal na aliekujaza upepo moja kwa moja bila shaka, atlast tunahitaji mawazo yaliotukuka katika mada zakutumia ubongo na sio kurushiana maneno !!jf sio fb
 
Kwa kuongezea hapo Ukichaguliwa technical school somo la history halisomwi kabisa. Pia physics ipo tofauti kidogo inaitwa engineering science. Halafu ukifika form 3 inabidi uchague kati ya biology na geography. Hii yote ni kwa sababu inatakiwa jumla ya masomo isizidi kumi.

Kwa masomo ya engineering yamegawnyika kama ifuatavyo

1 - CIVIL ENGINEERING hapa wanafunzi wanaganywa makundi matano
.- carpentry & joinery/woodwork (fundi seremala )

- plumbing (fundi bomba )

- Masonry (fundi uwashi )

-painting (fundi rangi )

- Surveying (upimaji )

Kuna masomo mawili ambayo wanafunzi wote wa civil wanasoma. Masomo hayo ni BUILDING CONSTRUCTION na ARCHITECTURAL DRAUGHTING

2 - MECHANICAL ENGINEERING
hapa wanafunzi wanaganywa makundi matatu
- Motor vehicle mechanics (mambo ya magari )

-Fitting & TURNING (huhusika na utengenezaji wa vifaa vya kuunga kama screws )

- Welding & Metal Fabrication (uchomeleaji )

Wanafunzi wote wa mechanical engineering ni lazima wasome masomo mawili ambayo ni WORKSHOP TECHNOLOGY na MECHANICAL DRAUGHTING

3- ELECTRICAL ENGINEERING
Hapa wanafunzi wanagawanywa makundi mawili

-Electrical installation (hawa huhusika sana na usukaji wa umeme )

Electronics/ Radio & TV servicing (hawa huhusika na utengenezaji wa vifaa vya umeme )

Wanafunzi wote wa electrical engineering ni lazima wasome ELECTRICAL ENGINEERING SCIENCE na ELECTRICAL DRAUGHTING

Mwisho wa siku mwanafunzi anafanya NECTA kwa masomo kumi (saba ya kawaida na matatu ya ufundi )
bravo comrade. ufafanuzi mzuri sana.
 
Kua makini sana we read between lines so don't mention watanzania katika any abusive language, kama kuna mtu anakutingisha jaribu kua neutral usipambane sana hadi unatugroup wote katika hasira zako,unaweza deal na aliekujaza upepo moja kwa moja bila shaka, atlast tunahitaji mawazo yaliotukuka katika mada zakutumia ubongo na sio kurushiana maneno !!jf sio fb
 
Kua makini sana we read between lines so don't mention watanzania katika any abusive language, kama kuna mtu anakutingisha jaribu kua neutral usipambane sana hadi unatugroup wote katika hasira zako,unaweza deal na aliekujaza upepo moja kwa moja bila shaka, atlast tunahitaji mawazo yaliotukuka katika mada zakutumia ubongo na sio kurushiana maneno !!jf sio fb
I didn't generalise. Majority doesn't mean all. Tell your friends to stop provoking me. How comes someone screenshot everything I type KT and bring here to put me to shame. Another one find me here and calls me a monkey 🐒. Is that fair? Now they are acting the victims here so that I can be blamed for everything. Infact nilikuwa nimesema sitarudi kwa huu uzi tena..
Nilikuja kumpa kilaza fulani dose yake. Natumai aliipata sasa sina budi kuondoka lakini haimaanishi sitarejea akianza uchokozi tena
 
Back
Top Bottom