Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado hii si hoja.Hapa siongei kwa ajili ya Mkenya wala Mtanzania.Unaweza pia badili hizo alama ukaweka mawe.Nilitazama mtoa mada anataka nini basi hapo ndipo msingi wa hoja yangu inapoanzia.

Hii hoja ya Wakenya kule au huku wanafanywa hivi haikuwa hoja.Aidha, hapo hunisaidii,labda unajiridhisha tu kisaikolojia, maana hata mimi naijua Jamii Forum pia.

Kwani shida yako nini mkuu??
 
Mijitu ya kuamrisha wakenya walete visiwa vya Nairobi. Hebu waelimishe maana uelewa wao wa mambo ni finyu sana ila siwalaumu. Wa kulaumiwa ni mcpilipili .kabla ya kuingia kwenye sanaa ya uchekeshaji alikuwa mwalimu wa shule ya upili. Angewafunza jiografia vizuri mngekuwa na uwezo wa kutofautisha lnland city na coastal city. Nashuku alikuwaanaleta mzaha darasani. Kawafunza comedi Yule ila sijapata mbongo hata mmoja ambaye amebobea kwenye uchekeshaji. Na mkiambiwa elimu yenu ni duni mnanuna.
 
ataweza?.... huyo atakuja na porojo tu, hana lolote. acha nimtag tuone.
mtoto akilia wembe mpe tu😂😂😂😂

745C5114-0984-4BDD-ACA4-AC6E797C1BCD.gif
 
Mijitu ya kuamrisha wakenya walete visiwa vya Nairobi. Hebu waelimishe maana uelewa wao wa mambo ni finyu sana ila siwalaumu. Wa kulaumiwa ni mcpilipili .kabla ya kuingia kwenye sanaa ya uchekeshaji alikuwa mwalimu wa shule ya upili. Angewafunza jiografia vizuri mngekuwa na uwezo wa kutofautisha lnland city na coastal city. Nashuku alikuwaanaleta mzaha darasani. Kawafunza comedi Yule ila sijapata mbongo hata mmoja ambaye amebobea kwenye uchekeshaji. Na mkiambiwa elimu yenu ni duni mnanuna.

Bahati mbaya mimi sina mrengo huo ulionao.Nilitaka tu kuwa na mjada unaofunza kuliko unazi.

Hivi usemavyo na mtanzania atakujibu vile aonavyo yeye pia.Sasa hapo ndiyo mtasema hii ni debate? Ya kiwango gani?
 
[QUWallahi hawaweOTE="Mtafiti77, post: 28704625, member: 58751"]Bahati mbaya mimi sina mrengo huo ulionao.Nilitaka tu kuwa na mjada unaofunza kuliko unazi.

Hivi usemavyo na mtanzania atakujibu vile aonavyo yeye pia.Sasa hapo ndiyo mtasema hii ni debate? Ya kiwango gani?[/QUOTE]
Bahati mbaya mimi sina mrengo huo ulionao.Nilitaka tu kuwa na mjada unaofunza kuliko unazi.

Hivi usemavyo na mtanzania atakujibu vile aonavyo yeye pia.Sasa hapo ndiyo mtasema hii ni debate? Ya kiwango gani?
Huu Uzi umebadilika ukawa wa matusi. Nilikuwa nimejiuzulu lakini nikagundua mna kilaza fulani humu ananitukana atakavyo. Jambo hilo likanitia hamaki hadi singejizuia. Nikasema lazima nilipize kisasi. Sijui mie kamfanyia nini maana chuki aliyo nayo dhidi yangu haina kifani. Naomba umuulize kama niko na deni lolote lake nifanye wepesi kumlipa. Sipendi kutukana waja ovyoovyo. Wakitaka matusi watayapata kwa wingi ila wakichagua tufanye midahalo ya amani itakuwa bora
 
These idiots have nothing to offer. Hesabu za secoo ndio wanaturingia nazo.you can tag Anna though. Niliskia ameiva sana kwa Mao
hahaaaa we si ulisema una-left wewe,sasa mbona umerudi??au ulitaka tukubembeleze?
jf ni kama maji,kama hutaki kunywa,utayaoga!..huwezi kuiacha kirahisi hivyo,it's just like a coka,once you enter forget to get out!..very addictive!
 
Ha ha ha she must be looking for good husband to Mary her
 
hahaaaa we si ulisema una-left wewe,sasa mbona umerudi??au ulitaka tukubembeleze?
jf ni kama maji,kama hutaki kunywa,utayaoga!..huwezi kuiacha kirahisi hivyo,it's just like a coka,once you enter forget to get out!..very addictive!
😅😅😅😅sijarudi kwa hiari. Kadada provoked me so I came back to teach him a lesson. Either way I concur. Jf is very addictive. Sasa nataka kadada aniambie nilimkosea nini maana huyo mtoto hana heshima
 
Mijitu ya kuamrisha wakenya walete visiwa vya Nairobi. Hebu waelimishe maana uelewa wao wa mambo ni finyu sana ila siwalaumu. Wa kulaumiwa ni mcpilipili .kabla ya kuingia kwenye sanaa ya uchekeshaji alikuwa mwalimu wa shule ya upili. Angewafunza jiografia vizuri mngekuwa na uwezo wa kutofautisha lnland city na coastal city. Nashuku alikuwaanaleta mzaha darasani. Kawafunza comedi Yule ila sijapata mbongo hata mmoja ambaye amebobea kwenye uchekeshaji. Na mkiambiwa elimu yenu ni duni mnanuna.
Ingia you tube search Coy mzungu ucheke ujiny.ee
 
hey You little boy 👦. Who lied to you that I am desperate for a husband? Think before you type. Are we together?
take it easy, everything here is about a battle!!!nothing is serious, if you take anything the way you take,you will be stressed up!!!..I think this battle is bigger than you,yo may take a time for rest..
 
[QUWallahi hawaweOTE="Mtafiti77, post: 28704625, member: 58751"]Bahati mbaya mimi sina mrengo huo ulionao.Nilitaka tu kuwa na mjada unaofunza kuliko unazi.

Hivi usemavyo na mtanzania atakujibu vile aonavyo yeye pia.Sasa hapo ndiyo mtasema hii ni debate? Ya kiwango gani?

Huu Uzi umebadilika ukawa wa matusi. Nilikuwa nimejiuzulu lakini nikagundua mna kilaza fulani humu ananitukana atakavyo. Jambo hilo likanitia hamaki hadi singejizuia. Nikasema lazima nilipize kisasi. Sijui mie kamfanyia nini maana chuki aliyo nayo dhidi yangu haina kifani. Naomba umuulize kama niko na deni lolote lake nifanye wepesi kumlipa. Sipendi kutukana waja ovyoovyo. Wakitaka matusi watayapata kwa wingi ila wakichagua tufanye midahalo ya amani itakuwa bora[/QUOTE]

Poleni. Bahati mbaya suala lako/lenu si suala la mjadala. Ni vema hayo mkayamaliza wenyewe. Aidha, mkiona mmefikia hatua hiyo ya kutukanana huenda mmoja wenu au nyote mna tatizo la kukosa maarifa ya kujenga hoja thabiti. Na huu ndiyo msingi wa mimi kukosoa aina ya mjadala uliopo.
 
Back
Top Bottom