komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mbna hayo majumba yamefinyana hvo
Mbna hayo majumba yamefinyana hvo
tumefika hapa?... wapi?
😅😅😅Kama hupajui, basi swali lako hapo juu halina msingi.
Pambaneni na hali yenu.We've a lot of narcissists on this thread
shida mojawapo ya wakenya ni tabia yao ya kuwa hostile and short-tempered.Ndio hivyo jembe, kutingishwa humu lazima ila lazima uwe smart ,mlimpanikisha collohmzii hadi akawa anataka kuwameza![]()
![]()

.
.hukupataja....huo msingi ningeutoa wapi?Kama hupajui, basi swali lako hapo juu halina msingi.
Housemaid vipi!? Siku hizi unakesha JF!?Pambaneni na hali yenu.
But I think you can advise them to consult a doctor.
Unfortunately the condition they have can't be cured. I hope something could be done to avoid extremity though
More handsome than Annael. SmhThe young versatile city Mp...Embakasi East constituency.....his pekness Babu OwinoView attachment 892457View attachment 892458View attachment 892459View attachment 892460View attachment 892461
Housemaid vipi!? Siku hizi unakesha JF!?
That's how you proved my pointPambaneni na hali yenu.
But I think you can advise them to consult a doctor.
Unfortunately the condition they have can't be cured. I hope something could be done to avoid extremity though
Daaah mkuuKwa kuongezea hapo Ukichaguliwa technical school somo la history halisomwi kabisa. Pia physics ipo tofauti kidogo inaitwa engineering science. Halafu ukifika form 3 inabidi uchague kati ya biology na geography. Hii yote ni kwa sababu inatakiwa jumla ya masomo isizidi kumi.
Kwa masomo ya engineering yamegawnyika kama ifuatavyo
1 - CIVIL ENGINEERING hapa wanafunzi wanaganywa makundi matano
.- carpentry & joinery/woodwork (fundi seremala )
- plumbing (fundi bomba )
- Masonry (fundi uwashi )
-painting (fundi rangi )
- Surveying (upimaji )
Kuna masomo mawili ambayo wanafunzi wote wa civil wanasoma. Masomo hayo ni BUILDING CONSTRUCTION na ARCHITECTURAL DRAUGHTING
2 - MECHANICAL ENGINEERING
hapa wanafunzi wanaganywa makundi matatu
- Motor vehicle mechanics (mambo ya magari )
-Fitting & TURNING (huhusika na utengenezaji wa vifaa vya kuunga kama screws )
- Welding & Metal Fabrication (uchomeleaji )
Wanafunzi wote wa mechanical engineering ni lazima wasome masomo mawili ambayo ni WORKSHOP TECHNOLOGY na MECHANICAL DRAUGHTING
3- ELECTRICAL ENGINEERING
Hapa wanafunzi wanagawanywa makundi mawili
-Electrical installation (hawa huhusika sana na usukaji wa umeme )
Electronics/ Radio & TV servicing (hawa huhusika na utengenezaji wa vifaa vya umeme )
Wanafunzi wote wa electrical engineering ni lazima wasome ELECTRICAL ENGINEERING SCIENCE na ELECTRICAL DRAUGHTING
Mwisho wa siku mwanafunzi anafanya NECTA kwa masomo kumi (saba ya kawaida na matatu ya ufundi )
hukupataja....huo msingi ningeutoa wapi?
Hey! You wanna reconcile the two parties? These people are irreconcilable. You are just wasting your time.mtafiti .nenda ukaendelee na utafitiUliupata na ulishajibu mapemaaa tangu jana. Labda kama uliandikiwa.
Hey! You wanna reconcile the two parties? These people are irreconcilable. You are just wasting your time.mtafiti .nenda ukaendelee na utafiti