nimefurahishwa na mjadala wa leo kati wakenya na watanzania ulioangazia masuala ya elimu.
baadhi yetu hatujazoea ku-argue kwa porojo, tunapenda facts.
nilichogundua kwa wakenya ni kwamba kila wanachofafanuliwa kuhusu elimu yetu ya O-level(form 1 up to form 4) na high level(form 5 up to form 6) huwa wanadai eti wamesoma tangu wakiwa sijui primary sijui wakiwa form 1 and blablabla.
sasa twende kwenye practical, tusipige porojo.vitendo vizungumze zaidi kuliko maneno.
naleta kwenu advanced mathematics national examination paper for form six student that was held in tanzania on may 2018.
nataka wale wakenya waliobobea katika mathematics wa solve maswali katika papers then watuonyeshe equations and solutions walizotumia kupata majibu.
uzuri jamiiforum imekusanya magwiji wa kila fani.magwiji watakuja kuthibitisha kama majibu ni sahihi au lah. porojo zikae kando kwa mda.
housemaid we don't need your excuses and blablabla here, solve these questions pls.
View attachment 891155View attachment 891156View attachment 891157View attachment 891159
copy to
Kijibabu