Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huwa nasema kila siku kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya wakenya waliopo katika mitandao mengine kama twitter, fb, instagram na wakenya wachache wa hapa jamiiforum.

wakenya wachache wa hapa jf ni factless, blind patriots pia wapo too emotional katika arguments.

wakenya wa twitter, fb na instagram wapo real sana,kama ni white watasema ni white, hapendi ku beat around the bush.

lakini pia inapofika suala la kuzungumzia mazuri ya tanzania hawapo unbiased kama wakenya wachache wa hapa jamiiforum.

katika mtandao wa quora limeulizwa swali "why is tanzania's music industry successful than kenya's?.
mkenya mmoja amejibu vizuri sana. maelezo yake yame-base kwenye fact na si hisia.

najua wakenya wa jf wata catch feelings watakapo soma maelezo haya.

View attachment 890746View attachment 890747View attachment 890748View attachment 890749
Sasa mzee wangu...unaleta post ya geofrey omollo hapa...kiswahili chenyewe kakikuta shuleni...anajuwa nn haswa kuhusu kiswahili...hapo ni sawa na kusema kingereza ni cha wamarekani kw sababu hukiongea sana
 
But hvo hvo form 4 wa kenya akija bongo atakubaliwa chuo kikuu hta bila ya kupitia form5 na 6...jiulizeni tatizo n nn sasa hapo
sidhani, nakumbuka miaka ya nyuma form 4 graduates waliosomea kenya walikuwa hawakubaliwi kupata direct entry katika admission ya vyuo vikuu.
 
Sasa mzee wangu...unaleta post ya geofrey omollo hapa...kiswahili chenyewe kakikuta shuleni...anajuwa nn haswa kuhusu kiswahili...hapo ni sawa na kusema kingereza ni cha wamarekani kw sababu hukiongea sana
umesoma alichokiandika au umekurupuka?
 
But hvo hvo form 4 wa kenya akija bongo atakubaliwa chuo kikuu hta bila ya kupitia form5 na 6...jiulizeni tatizo n nn sasa hapo
Sijajua Tcu wameset standards gani kama equivalents za kuingia university kwa kijana anayemaliza form 4 kenya. Mfumo wa secondary kwa 4+2 ni mzuri ndio maana hata syllabus ya Cambridge iko hivo.

Elimu ya Tanzania ni ngumu (simaanishi ubora ). Mtu anaweza pata average ya B (division 1 points 14 ) form 4 ila A level akapata FFF (Division zero ).

Tena saiz Tcu wameongeza points za kwenda chuo. Ndio maana wanafunzi wengi wa Tz wana-opt kwenda diploma baada ya form 4 kuliko kwenda A level ambako probability ya kufaulu ni ndogo sana.

Katika level ya undergraduate Wakenya ni wachache sana huku Tz(sijui hata kama wapo ) ila postgraduate ndio wengi. Mfano chuo cha Muhimbili kuna Kozi flani katika Masters degree Wakenya ni 75% ya wanafunzi wote
 
Wivu huo...sgr dume anawakosesha usingizi...tupia tena picha ya yule mwanaume...usimchezee bana...anabeba double stack...mwanaume kamili 😀😀😀😀
Usinichekeshe, hizo treni zilizopakwa paint na jinsi wachina wanavyowapa kipigo taratibu, sidhani kama unaelewa jinsi mlivyo kwenye trouble
 
Screenshot_2018-10-08-17-28-41-345_com.instagram.android.jpeg
 
Nilishangaa kuona vitu ambavyo tulifunzwa darasa la nne zinafunzwa kidato cha tatu huko bongo.
Kitaje hicho kitu hapa, na ukitaja basi mi nitarudisha Vyeti vyangu Necta na kujiandikisha upya darasa la kwanza kenya.

Mfano biology unaweza sema tunarudia mambo ya shule ya msingi lakini sio Kweli. Hizo reproduction tunasoma kuanzia darasa la 5 mpaka chuo kikuu. Ila we ukiona sepals na petals basi unaona ni yaleyale ya darasa la nne Kumbe ni
mambo yaleyale ila kwa upana zaidi

Kwa taarifa yako hata A level kuna topic zilezile za primary na o level ila kwa upana zaidi
 
Unachokisema hapa ni ukweli lakini mbona unayadhalilisha masomo ya Kenya?
Hebu nitajie topics mlizozisoma kidato cha sita
 
form 5 and 6 ni rahisi sana compared to form 4 ya Kenya ...................most kenyans who score grade C minus and D plus end up with distinctions in O levels
Ingekua sawa wala tusingekua na haja ya kusoma vitabu vya wahindi katika physics na chemistry bali tungesoma vya kwenu. Kuna siku nilitazama vitabu vyenu vya kiada katika chemistry na nikagundua kuwa graduate wa A level bongo hawezi kabisa kuwa sawa na form 4 graduate wa kenya.

Sisi huku A level mwanafunzi anachagua masomo 3 anayoyaweza ambayo atasoma kisawasawa kwa miaka 2. Mfano wa somo moja tu la physics ambalo mwanafunzi anasoma topics kama 4 tu form 5 ila content yake ni kubwa sana kiasi kwamba wengine huwa wanaamua kuiacha kabisa. Mfano mwaka 2013 mwanafunzi bora katika physics Tanzania alikua na C.

Ukitaka kujionea mwenyewe Google tetea hapo utakuta past papers za A level za mitihani ya taifa. Mpe mdogo wako wa form 4 kama ataweza fanya
 
Unachokisema hapa ni ukweli lakini mbona unayadhalilisha masomo ya Kenya?
Hebu nitajie topics mlizozisoma kidato cha sita
Sijadhalilisha ila we ndio umetudhalilisha. Mi a level Nilisoma PCB (Physics, chemistry na biology ). Niambie hapo nikutajie topics za somo lolote kati ya hayo
 
Mtu kama tuusan hajatembea Kenya. Haamini kwamba Kenya kuna elimu nzuri. Anaijua UDSM pekee
No sio kwamba siamini mnaelimu nzuri,ofcz elimu mnayo lakini kusema mmetuzidi sana Tz ndio siwaelewi nilikuambia we are the same mkawa hamuelewi sijaona masomo yatofauti Kenya maana TZ elimu ipo tena itategemea na wewe mwenyewe umesoma wapi na unazingatia kwa % ngapi masomo yako
 
form 5 and 6 ni rahisi sana compared to form 4 ya Kenya ...................most kenyans who score grade C minus and D plus end up with distinctions in O levels
Ugumu wa form four yenu uko wapi zaidi,somo korofi sekondari ni advanced physics pekee hayo mengine sio masomo yakusumbua sana
 
Back
Top Bottom