Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I dropped physics. So tell me about chem and biology
Chemistry nakumbuka topics zilikua chache tu,kuna Organic ,Inorganic,general lakini mziki wake Ni mnene sana
Biology topic ndefu ni classification, genetics,biochemistry,izo zingine ni zilezile sio ngumu kivile
 
Biology had classification 1 which we did in form 1 and classification 2.
Periodic table mlisoma mkiwa form?
 
I dropped physics. So tell me about chem and biology

Chemistry is a little bit easy compared to physics and biology. The syllabus requires you to learn the following

1-GENERAL CHEMISTRY . By the end of the topic you're supposed to know
-All atomic models
-electronic configuration plus quantum mechanics, etc

Hapo kuna mambo mengine mengi ambayo nimesahau kama marules ya heinsberg , hunds, de broglie, Einstein Equation, derivation ya bohr radius,mpaka schrodinger equation ili kuwepo ila ikatolewa baada ya watu kulalamika

-this topic can take up to 3 months

2-PHYSICAL CHEMISTRY . This is divided into 5 subtopics which are
-states of matter (harder )
-Electrochemistry (harder )
-Energetics (thermochemistry )-simple
- chemical equilibrium (simple )
-chemical kinetics (bit harder )

This topic can take up to 4 months

3-INORGANIC CHEMISTRY. This topic is divided into 2 subtopics
-GROUP CHEMISTRY . This part covers periodic table with its properties along and down the group such as ionization energy, atomic radius etc. Also you have to explain properties of each group from group 1 to 8
-TRANSITIONAL ELEMENTS - this covers all metals from atomic number 20 to 30 together with their properties like color formation, variable oxidation states etc.
-this topic can take up to 3 months

4-ORGANIC CHEMISTRY. Here I don't know how I can explain but in nutshell it has the following
-INTRODUCTION . Here you have many things to explain like bond formation and bond breaking(homo & hetero), nucleophile, electrophile, free radical. Inductive effects (-&+),etc

-After introduction, which is almost a topic on its own, you start the aliphatic, aromatic, carbonyl, amide, amine and many other compounds. Here all the properties learned in introduction are applied.

-Of all topics this is the hardest (many students like it but they can't pass ). it can take up to 5 months.

5- SOIL CHEMISTRY. This simple

6-ENVIRONMENTAL CHEMISTRY

It's very difficult to prepare a book which can contain all topics which is why each topic is presented in its own book. Physical chemistry alone can take not less than 250 pages (for a simplified book).

Because of its bulkiness the national advanced chemistry exam is divided into 3 papers. Two of them are based on theory while the third one is all about practicals

Lengo langu sio kuonyesha kwamba elimu ya kenya ni mbovu. Nataka kusema elimu ya bongo ina mambo mengi sana yanayomsumbua mwanafunzi. mfano mwanafunzi anayetaka kuwa daktari atasoma sana mechanics ya physics ambayo kiuhalisia hataitumia akienda kusoma Medicine.
 
Wakati mwingine uje na hoja kama hizi kabla ya kufungua kinywa chako kuidhalilisha elimu ya Kenya. Hivi vitu umetaja hapa tulivisoma hivyo usione kwamba elimu yenu ni bora kuliko ya Kenya
 
Ulisoma kwa kiasi ndio swali la kujiuliza. Kwa sababu hata chuo wanasoma general chemistry
 
Pia nimeona mlisoma theory and practicals right?
Yeah! Practicals za chemical kinetics (hapo mambo ya first order na zero order ). Qualitative analysis na titration(volumetric analysis ). Practicals hizi na O level tunafanya ila za advanced level zinaongezeka ugumu kidogo. Hapa ndio wanafunzi wengi tunaokota marks
 
comrade pongezi kwako.
nafurahi kuona ukijaribu kumuelimosha huyo housemaid,ila naomba uwe uvumilie cos una argue na kilaza.

unajitahidi sana kuweka fact ila yeye kazi yake ni kurusha maneno tu kwenye comment. yote anayoandika ni factless.

kila mara huwa narudia kusema, kwenye elimu na masuala ya kataaluma, kitu pekee ambacho mkenya anamzidi mtanzania ni kuzungumza na kuandika lugha ya kingereza,sio maarifa.

elimu yetu ipo poa sana kushinda ya yao.kuhusu performance kwa mfano wahandisi wa kenya hawaingii hata robo kwa wahandisi waliosoma vyuo vya tz. achilia fani zingine.
 
the fact remains that
Elimu ya Tanzania ni duni sana.
Yaani mwanafunzi wa darasa la nne anaweza fanya mtihani wa shule ya upili bongo na apite. Masomo ya class 6 Kenya ndiyo ya form 3 Tanzania.
E.A Kenya leads in education Uganda follows.
Kilaza fulani humu alisema nos don't lie.
 
Usinichekeshe, hizo treni zilizopakwa paint na jinsi wachina wanavyowapa kipigo taratibu, sidhani kama unaelewa jinsi mlivyo kwenye trouble
Naona sgr dume anakupa wasiwasi kwel...hahaaaaa!!malizeni hilo jike lenu tuone km atabeba double stack
 
Ingekua sawa wala tusingekua na haja ya kusoma vitabu vya wahindi katika physics na chemistry bali tungesoma vya kwenu. Kuna siku nilitazama vitabu vyenu vya kiada katika chemistry na nikagundua kuwa graduate wa A level bongo hawezi kabisa kuwa sawa na form 4 graduate wa kenya.

Sisi huku A level mwanafunzi anachagua masomo 3 anayoyaweza ambayo atasoma kisawasawa kwa miaka 2. Mfano wa somo moja tu la physics ambalo mwanafunzi anasoma topics kama 4 tu form 5 ila content yake ni kubwa sana kiasi kwamba wengine huwa wanaamua kuiacha kabisa. Mfano mwaka 2013 mwanafunzi bora katika physics Tanzania alikua na C.

Ukitaka kujionea mwenyewe Google tetea hapo utakuta past papers za A level za mitihani ya taifa. Mpe mdogo wako wa form 4 kama ataweza fanya
Sasa physics watu kenya hta form 1 wanasoma...form 3 na 4 ndio unachagua km utaendelea nayo au la
 
Mfumo wa elimu Kenya hapo awali ulikuwa 7-6-2-2 .kubadilishwa kwake ukawa 8-4-4 haimaanishi masomo yalibadilika. Infact yaliboreka zaidi.
 
Back
Top Bottom