Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku wakenya wakipata super street kama hii, please tag me
tapatalk_1538806686698.jpeg
 
na hii tabia yenu ya kujifanya mpo too liberal na desturi za kimagharibi ipo siku itakuja kuwa cost.

kuna vitu vya kimagharibi sio sifa kwa mwanaume wa kiafrika kuviiga.
IMG_20181006_234403.jpeg
IMG_20181006_234423.jpeg
Screenshot_2018-10-06-23-43-15-320_com.facebook.katana.jpeg
 
Kuna watu hukesha humu wakiidhalilisha Kenya.
Kenya you are so blessed. You can't imagine how many people lack sleep because of you.They are enemies of your progress. Keep rocking my beautiful country
 
Kuna watu hukesha humu wakiidhalilisha Kenya.
Kenya you are so blessed. You can't imagine how many people lack sleep because of you.They are enemies of your progress. Keep rocking my beautiful country
Keep on holding that branch "monkey" make sure you don't fall off as you sleep
 
Hyo n personal matter..so mi hainuhusu...huo ni uamuzi wao tu

komora mdogo angu nimegundua kuna mtu anaumia sana anapoona wewe na sisi tunafanya friendly discussion.lengo lake nikuona unalipuka kwa hasira halafu uanze kutype vitu vya ahabu dhidi yetu.
amesahau kuwa wewe ni kijana wa mombasa na sio nairobi.

nilishawahi kusema vijana wa mombasa wako poa sana, hawana shida na mambo ya ujuaji dhidi ya vijana wa dar es salaam.

ni hiyari yako kumsikiliza yule housemaid ili ufanye kile anachokitaka au ubaki na ustaarabu wako.
 
Back
Top Bottom