Then why are you building another rail?
Then why are you building another rail?
Ilo swali ni la kipuuzi unajua Tanzania ina reli ngapi ? TAZARA ni reli ya kutoka Dar to Zambia sgr aijengwi huko sgr inajengwa kwenye reli ya kati inayotoka Dar to Mwanza mpaka kigoma Tanzania inazo reli tatu out of sgrThen why are you building another rail?
Ndio mfumo man kila mtu anapitia mayb upate bahat ya kusoma English academy primary itakusaidia lugha secondary kiaina
Wewe karibu ununuliwe na upinzani ee? Tangu ile siku naona umebadilika sana.
unabahat sana siku tukizipata nadhani uta-experience Tabu sana...nani uhakika 100% zitapatikana huku kuna ma-expert kwenye hilo swala,KIT!Wamejaribu juu chini kutafuta pic zangu lakini hawatazipata. WATAPATA TAABU SANA
Yule underweight msapere kwisha habari yake,unabahat sana siku tukizipata nadhani uta-experience Tabu sana...nani uhakika 100% zitapatikana huku kuna ma-expert kwenye hilo swala,KIT!
Ali-fyekeewa mbali...Yule underweight msapere kwisha habari yake,
Kwisha kabisa.
siku hizi ana argue kwa adabu sana maana anajua dhahiri shahiri tunalo faili lake. akizingua tu, tunaliamsha dude.Yule underweight msapere kwisha habari yake,
Kwisha kabisa.
Huu mchezo hautaki hasira Janerose.😂😂😂Underweight and you yourself look like a skeleton
Utapatikana tu ukiingia kwenye kumi na nane,itabid ubadilishe ID au U-log out kutoka jf...Wewe unadhani wamezitafuta siku ngapi. ?wanajua mahala nilipo kwa kuwa nilishea lokesheni yangu
hahaha, thats you Duncan, you are so tiny boy. Eat good food.Underweight and you yourself look like a skeleton
Haha liamushe basi..kwani unatishia nani...First class DimWit.siku hizi ana argue kwa adabu sana maana anajua dhahiri shahiri tunalo faili lake. akizingua tu, tunaliamsha dude.
Am waiting for five years we compare 'notes'. Geza one time claimed by end of 2015 Dar will be at par with Nai., but when you visit na kupita hapa na pale, hamna, ulubwa lakini balaa! If all these lined up devt will materialize, hopefuly, and the ones in Nairobi; knowing Kenya tunasema na kutenda.., we shall know., Nairobi aint stagnant. Tutaona.Ingekua rahisi NBO kushinda hii battle endapo Dar isingekua inafanya yafuatayo....
1.Ujenzi wa SGR ambayo itakua na treni Za umeme
2.Ujenzi wa Kimara-Kibaha highway 6lanes awamu ya kwanza
3.Ujenzi wa BRT Awamu ya pili na tatu
4.Upanuzi wa JNIA T3
5.Skyscrapers kadhaa katika hatua za mwisho za ujenzi
6.Selander cable bridge 7km(this has no match to Nbo since it's an inland city)
7.DAR port expansion (this has nothing to compare with Nbo )
Kuna siku nilikua na wakenya wawili mahali nje ya Africa. Mmoja wa Mombasa huyu yuko poa sana na anaongea swahili safi. Watanzania tulikua tunampenda sana akawa rafiki yetu sana. Ila huyu wa Nairobi alikua anawadharau sana watu wa Mombasa na kuwaita wavivu hapa aliniudhi sana.komora mdogo angu nimegundua kuna mtu anaumia sana anapoona wewe na sisi tunafanya friendly discussion.lengo lake nikuona unalipuka kwa hasira halafu uanze kutype vitu vya ahabu dhidi yetu.
amesahau kuwa wewe ni kijana wa mombasa na sio nairobi.
nilishawahi kusema vijana wa mombasa wako poa sana, hawana shida na mambo ya ujuaji dhidi ya vijana wa dar es salaam.
ni hiyari yako kumsikiliza yule housemaid ili ufanye kile anachokitaka au ubaki na ustaarabu wako.