Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Am waiting for five years we compare 'notes'. Geza one time claimed by end of 2015 Dar will be at par with Nai., but when you visit na kupita hapa na pale, hamna, ulubwa lakini balaa! If all these lined up devt will materialize, hopefuly, and the ones in Nairobi; knowing Kenya tunasema na kutenda.., we shall know., Nairobi aint stagnant. Tutaona.
I always try to warn you .humu ndani mna vibaraka wa serikali kwa hivyo mnapoanika picha za Kenya hapa wanaenda kutengeneza vitu vizuri kwao. Hili jukwaa linafuatiliwa na serikali yao sana.mkisusia kupost mapicha humu itakuwa vizjr

Fiction
Naona mnajilisha upepo hahaha ,kila kitu nilichoandika hapo kinafanyiwa kazi,hakuna ndoto hapo,BTW Next yr our SGR phase one will be ready,JNIA T3....So nawapa muda tu
 
tapatalk_1537295377135.jpeg
 
Naona mnajilisha upepo hahaha ,kila kitu nilichoandika hapo kinafanyiwa kazi,hakuna ndoto hapo,BTW Next yr our SGR phase one will be ready,JNIA T3....So nawapa muda tu
Am waiting for five years we compare 'notes'. Geza one time claimed by end of 2015 Dar will be at par with Nai., but when you visit na kupita hapa na pale, hamna, ulubwa lakini balaa! If all these lined up devt will materialize, hopefuly, and the ones in Nairobi; knowing Kenya tunasema na kutenda.., we shall know., Nairobi aint stagnant. Tutaona.
Evidence of Geza please😂😂😂
 
Hi kitu cha umeme kinakutoa povu😂😂😂
Construction-work-on-Tanzania-SGR-in-top-gear.jpg
 
Am waiting for five years we compare 'notes'. Geza one time claimed by end of 2015 Dar will be at par with Nai., but when you visit na kupita hapa na pale, hamna, ulubwa lakini balaa! If all these lined up devt will materialize, hopefuly, and the ones in Nairobi; knowing Kenya tunasema na kutenda.., we shall know., Nairobi aint stagnant. Tutaona.
Siku Nairobi ukifikia hapa please tag me..😂😂😂
__800x800_5680d843ecd29.jpg
27201640680_2dfc62f5ae_b.jpg
New-Ticketing-System-Curbs-Fraud-on-Rapid-Transport-System.png
DART-Pictures.jpg
mwendokasi.jpg
rapid-bus-system-1024x683.jpg
DSM5.jpg
 
Kuna siku nilikua na wakenya wawili mahali nje ya Africa. Mmoja wa Mombasa huyu yuko poa sana na anaongea swahili safi. Watanzania tulikua tunampenda sana akawa rafiki yetu sana. Ila huyu wa Nairobi alikua anawadharau sana watu wa Mombasa na kuwaita wavivu hapa aliniudhi sana.
wakenya wa bara ni kawaida yao kuwadharau watu wa pwani ya kenya.
madharau ya namna hiyo kwa kingereza huitwa stereotypes.

hata sisi watanzania kutokana na utani wa makabila yetu huwa tunavitu kama hivyo ila wakenya wanaenda mbali zaidi kwasababu wao wanasukumwa na chuki za ukabila.

mfano mkikuyu humfanyia stereotype mjaruo kuwa ni mchafu, hajengi nyumba kwao pia hajakuwa uncircumcised.

mjaruo naye hivyohoyo anazo stereotype zake dhidi ya mkikuyu kama wizi nk.
 
Wakenya wote,ni waoga huwezi kuniambia alshabab 1 alikimbiza KDF yote kule Garisa,kingine huwezi kuniambia marine police wakenya walikamatwa na jeshi la uganda kwenye lake victoria na kupigwa kipigo chambwa mwitu kwa saa 48......Seriously!??
 
Kama nyinyi ndio brave si mpeleke Majeshi yenyu Somalia tuone na hio mdomo yenyu kama mtarudi. Let the strong Nations fight! Nyinyi ni wanyonge wa EAC.

Back
Top Bottom