Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masomo ya shule za msingi Tanzania. 1.Civics 2.science 3.vocational skills 4.personal studies 5.Geography 6.History 7.French 8.English 9.Kiswahili 10.Mathematics 11.Religion. 12.ICT
Duh!!masomo yote hayo...

Primary school in kenya...
Compulsry...
1.maths
2.english
3.kiswahili
4.science
5.social studies
6.RE(religious education)
 
Ngoja nifafanue kidogo Tanzania kuna shule za msingi aina mbili 1.Kuna zinazo fundisha masomo yote kwa kiswahili isipokuwa English kwenye hizi shule hamna somo la kifaransa na 2.zinazofundisha masomo yote kwa kiingereza tu isipokuwa kiswahili,Hizi French ilikuwepo tangu mwanzo .
Oooo...yani km vile bongo moviee..part 1 na part 2..hahaaaa!!!
Yani hao watoto wote wako nchi moja...hko ni kutojielewa walahi
 
Hyo day nlikuwa maji kw keja fulani ya msee...so stimu ilinipeleka mbaya..wakafikiria nkm naishi kw dream houses...
 
Wacha kuni quote km hujaelewa mada wewe
Nisiku-quote we nani??..ukiwa zuzu si tunakuchana tu hatufagilii mtu,tumegundua kenya kuna vilaza haswaa tofautisha kati ya job na employment! Sio unabwabwaja tu hapa!
 
Nisiku-quote we nani??..ukiwa zuzu si tunakuchana tu hatufagilii mtu,tumegundua kenya kuna vilaza haswaa tofautisha kati ya job na employment! Sio unabwabwaja tu hapa!
Heheee!!bro...mbna warukia mashaza matako wazi...utapasuka mk.... 😛 😛 😛
 
Oooo...yani km vile bongo moviee..part 1 na part 2..hahaaaa!!!
Yani hao watoto wote wako nchi moja...hko ni kutojielewa walahi
Hahahaha,mbona hamna shida wanafunzi wanatakiwa waelewe lugha yao ya taifa na lugha mbili kuu dunian english na french.
 
Nisiku-quote we nani??..ukiwa zuzu si tunakuchana tu hatufagilii mtu,tumegundua kenya kuna vilaza haswaa tofautisha kati ya job na employment! Sio unabwabwaja tu hapa!
Alafu nakwambia we huez nambia kitu...we kwangu km fyatu tu...kisha hamna kitu bro...alafu luki mwanangu,mi nakuchukulia doro tu...
 
Alafu nakwambia we huez nambia kitu...we kwangu km fyatu tu...kisha hamna kitu bro...alafu luki mwanangu,mi nakuchukulia doro tu...[ku-rent,nyu
Una nini wewe,we fala tu..!umeji-expose unaishi maisha magumu kwenye nyumba ya ku-rent,unavaa kiboya boya..
Unavaa suti za mtumba,miaka hii???really??
 
Ni lugha ambayo huzungumzwa na vijana wa Nairobi. Natumai itafifia hapa Kenya kwa sababu siipendi. Nakumbuka tukiwa shule ya msingi tulikuwa tunafunzwa kiswahili fasaha.Sasa hata nilisahau kiswahili maanake watu ninaotangamana nao wanaongea sheng' kwa hivyo sina budi kuongea hii lugha. Aghalabu mie huzungumza lugha ya mama.
Sheng ni broken Swahili .English, Swahili, vernacular words zinachanganywa. Ni lugha ya vijana mtaani. Nadhani unaifahamu isimu jamii
Big up leo nipo upande wako...hii uchafu inayoitwa sheng ilinipa shida sana nilipokuwa Nairobi mwaka 2016,ni lugha mbaya inachanganywa changanywa yaani inatia kichefuchefu,unaweza kutapika ukisikia mkora wa Nairobi akizungumza!
 
Sasa unaringa na vitu za Germany? Wabongolala kweli ni bongolala.

Anyway, the first photo is of City of Nairobi Park in Denver and the second photo is of city of Nairobi Park in Clayton US. There are so many places named after Kenyan things around the world but it's no big deal.
View attachment 888272
View attachment 888273
Sasa unataka kulinganisha huu uchafu wakufugia monkey huko us na Dar avenue Germany!!??seriously
 
Niliona jinsi walivyokuzungusha mpaka ukasalimu amri. Walipokwambia wewe ni mkaazi wa kibera ulikasirika sana jambo lililopelekea wewe kuwajulisha pahala ulipo. Ni kawaida yao kuwaambia wakenya waliomo kwamba ni kiberians. Nilicheka sana hiyo siku.
We acha2...bt huaga nikiwa sober hawawezi nikasirish
 
Back
Top Bottom