Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitabu chake kizuri,Ni mwandishi mzuri sana,Kwa waliosoma vitabu vyake wanamjua ndio! !class kwetu tulisoma icho kitabu
Yeah. He is one of the best authors not only in Kenya but also in Africa. His book'the river between'was also a setbook in Kenya.
 
VIVA TANZANIA
Do0LnF2XgAAyNSU.jpg
Do0LnFnWwAEuPvo.jpg
Do0LnFnX0AAY0MQ.jpg
 
Sam Nujoma road Vs Moroco-Victoria-Makumbusho sijui mshindi nani?

Noma sana, Ila Morocco -Vitoria inakua kwa kasi sana .

But Hii pia Inatengeneza cluster moja nzuri , Jengo la TBS pale karibu na ubungo, Mawasiliano, wizara ya maji na Pale mlimani City kuja Jengo la F13 . Ukimalizika Ubungo interchange patabadilika sana.

In general zinashindana
 
In genera zinashindana
Yes ila Morocco-Makumbusho ikipata barabara mpya au ikafanyiwa landscaping nzuri itaikalisha Sam Nujoma.
 
Uhuru kenyatta amemuiga JPM kufanya usafi na wananchi,!!kweli JPM ni mfano wakuigwa na kila rais Afrika.VIVA JPM,VIVA Tanzania.
 
Back
Top Bottom