halafu utasikia wakenya wachache vilaza hapa jf wakisema wakenya hawafatilii masuala ya tanzania... media za kenya haziandiki yanayoendelea tanzania and blablabla.
mwanamziki mchanga wa mziki wa gospel goodluck gozbert ambaye alianza kuvuma late last year kaandikiwa makala page nzima na gazeti la kenya. hakika mziki wa tanzania hauna mpinzani kenya.
sijawahi kuona msanii wa kenya akiandikwa page nzima na magazine za tanzania. ruksa kutoa povu.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 888238View attachment 888239