Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hua hakuna masomo ya Tz Au kenya hapo unazungumzia mitaala
Masomo Ni yaleyale biology,chemistry, physics name them
So maybe you should tell me how many subjects are taught in ur sec schools
Shule ya msingi nilisoma masomo yafuatayo:
English
Kiswahili
Mathematics
Science
Social studies
Christian religious education
Writing (composition and insha) which are categorised in English andSwahili respectively.
Haya nieleze ya kwenu
 
Shule ya msingi nilisoma masomo yafuatayo:
English
Kiswahili
Mathematics
Science
Social studies
Christian religious education
Writing (composition and insha) which are categorised in English andSwahili respectively.
Haya nieleze ya kwenu
Sijui kwa sasa hapa ntasemea mimi
Tulisoma
1.maarifa ya jamii(hapa ilikua ni mchanganyiko wa historia,jeografia na uraia)
2.Hisabati
3.kiswahili
4.English
5.sayansi
6.stadi za kazi
 
hiyo ni fact ila naona imekuuma sana msee. pole kwa maumivu.ugua pole.

laiti kama elimu yenu ingekuwa inawandaa kuwa watu knowledgeable katika fani mbalimbali, kenya isingekuwa inakumbwa na majanga mengi ya kuporomoka kwa majengo.

haupiti mwaka hapo kenya bila majengo kuporomoka.

article kadhaa zimeandikwa kuhusu chanzo cha tatizo hili, moja wapo ni hii hapa.ukipata mda isome kwa utulivu, najua huwezi kuisoma saa hii cos umecatch feelings.

View attachment 888488View attachment 888489View attachment 888490View attachment 888491View attachment 888492View attachment 888493View attachment 888494
Mzee baba..sai umeichosh nahabari za ujenzi mbovu...tafuta kinga ingine sasa
 
Agriculture %, financial services?, tourism?, etc. Nilijua upo vizuri tuchambue kwa aproach hii!?
Hebu nitajie hyo e.t.c...manake nijuavyo hamna zaidi ya hapo...na pia hzo nyanja ulizozitaja..tunahemshana
 
By Moiz

IMG_4648.JPG
 
huwa sipangiwi vitu vya kuandika/kupost. kama huwezi kuhistahimili post zangu usiwe unazisoma. utapata pressure.
A wapi...majengo ya kianguka haimaanishi waliosomea ujenzi chuo ndo hawako vizuri...hao ni wapiga dili tu...we wachezea janja janja za kenya....
Kuna watu kazi hku ni kupiga watu tu..ukiwa mjinga mjinga unapata engineer feki au uuziwe kiwanja feki...kenya wewe km si mjaja utauziwa hata fukwe za bahari ukiambiwa eti ni uwanja...

hapana chezea nyangau..utalambishwa lolo
 
It's like they are the same. Sioni tofauti yoyote.
Shule ya upili nilisoma
English
Kiswahili
Maths
History
C.R.E
Geography
Chemistry
Physics
Agriculture
Biology
Business studies
That is from form1 to form2 muhula wa pili/tatu. Hapo ndio unachagua Yale masomo unayotaka kuendelea nayo
O-level nilisoma
1.Physics 2 chemistry 3 biology 4 geography 5 civics 6 history 7 English 8 basic maths 9 kiswahili 10 commerce 11 book keeping (hii ni form 1-2) form three to four nilidrop book keeping na commerce nkaendelea na yaliyobaki
 
Shule ya msingi nilisoma masomo yafuatayo:
English
Kiswahili
Mathematics
Science
Social studies
Christian religious education
Writing (composition and insha) which are categorised in English andSwahili respectively.
Haya nieleze ya kwenu
Masomo ya shule za msingi Tanzania. 1.Civics 2.science 3.vocational skills 4.personal studies 5.Geography 6.History 7.French 8.English 9.Kiswahili 10.Mathematics 11.Religion. 12.ICT
 
Back
Top Bottom