Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

video za Wakenya zinaweza kuwa na views/comments chache kwa sababu ni Wakenya pekee yake ndio hutiririka kwa Kenyan video clips. sababu gani, Wakenya wanaelewana wao wenyewe kwa wenyewe haswa ile lugha inayotumika kwenye wimbo huo. i don't know kama unweza msikiliza timmy t-dat ukaelewa lugha anayotumia (sheng).
sasa tukija kwa views za wabongo huwa tunajumlisha idadi ya Wakenya na wabongo wote ndio maana inakuwa na views nyingi.

kuna wakati D¡amond aliwapongeza Wakenya kuwa mafans wake wakubwa iTunes, why? wabongo hawaonekani. ndii maana hata aka-launch album yake Kenya badala ya bongo. akili kichwani
Nasikitika kukuambia kwamba uko chini sana kwenye reasoning!
 
Kufuatilia ni kitu tofauti na kusikiliza...labda uje na jambo jngne...
Alafu wakenya wanapenda mziki mzuri si bongo flava pekeake...
Wasanii wabongo wanaofagiliwa sana kenya
1.diamond..anakubali na wngi
2.harmonize..anakubalik na wngi
3.rayvany...(pwani...nairobi bado hajakubalika kw sana..ila anamziki mzuri)

*mbosso na lavalava labda watie presoo kiasi...

4.navy kenzo..wanakubalika ila kw zile hit songs pekeake..
5.aslay...(pwani kw sana)
6.duh!!sijui hta nimueke nani hapa
7.weusi
8.vannesa mdee
9.jux
10.Mr.nice
11.janjaro
12.Ay
13.mwana FA
14.OMG
15.Prof jay
16.Mr 2 sugu huyu hadi kachorwa kwa matatu
List ni ndefu sana
 
Heheee!!kumbe wewe pimbi hv..kw taarifa yako kipaji bila kitu cga ku backup ni zero...kw mfano nitajie msanii mkubwa yyte ambaye hajawekeza mkwanja wake katika biashara...
Alafu kw akili zako wewe..hamisa kamzidi frasha na nn km si make-up na uchawi
Sasa we kwa akili zako zooote unampanisha mobeto na frasha???
Aisee wakenya mko na serious problem!
 
Huyo diamond mnayemsifia hapa...si ogopa dejays ndio ilimtoa mataani..ndo haachi kutoa shukrani kw wakenya...akili zake kw sasa si za ki ldc..thats y ana refer kenya km hz second home
Haya sawa nitajie ngoma moja tu ya diamond aliorekodi ogopa djz
 
Sauti Sol wako na mziki mzuri kuzidi wasanii wote Kenya,nyashi have got something to do!
He doesn't need support from you and he is doing better in Kenya alone while your artists rely on Kenya for YouTube views and shows. Imagine if Kenyans open their eyes and see how much you loathe them and start supporting their own? Too bad that they have no clue. I think majority know about you though.
 
Jibu swali..kati ya charlie puth na chris brown marekani..nani ndio habari ya mjini...
Haya ya kwamba kaisha unayaleta wewe..
Haya jibu hoja sasa
We jamaa unaonekana mshamba sana,Chris brown aliisha kitambo
Superstars wa marekani kwa sasa ni Kendrick Lamar,drake,migos akina upset na quevo,chance the rapper,and father of Assad a.k.a DJ khaleed himself
 
He doesn't need support from you and he is doing better in Kenya alone while your artists rely on Kenya for YouTube views and shows. Imagine if Kenyans open their eyes and see how much you loathe them and start supporting their own? Too bad that they have no clue. I think majority know about you though.
Ahaaaa you sound funny sista,we started it by ourselves,so we don't need you Kenyans..
Tanzania pekee ni soko kubwa la mziki wetu,bongofleva inaimbwa kwa kiswahili,ni kwa ajili ya waswahili!
 
Back
Top Bottom