Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajua internet iko fast sana huku Kenya, just a fraction of a second na nimejua kila kitu inaendelea pale youtube, comment section. ukiangalia vizuri, utapata ni Wakenya wengi wanaochangia

wakenya ni washamba.
mpo excited na mziki wa tanzania kuliko mziki wa kwenu. that's the point.

kama issue ni kuwa na fastest internet inayowapa access ya youtube, mbona video za wanamziki wenu zina views chache?

mbona kuna uchache wa comments kwenye video za wanamziki wa kenya?

kwanini views na comment za wakenya ziwe nyingi kwenye videos za watanzania tu na sio video za wakenya?.

ukitaka ushahidi nitakuletea.
 
Jamaa boya
juzi hapa Saut solo Wamesherehekea Video yao kufikisa views 10m kwa miaka 2
wakati Harmonize Video inafikisha Views 20ml kwa miez 2
 
Maskini akipataga ka doo kidogo anafloss mbaya

IMG_20180930_125008.jpeg
 
wakenya ni washamba.
mpo excited na mziki wa tanzania kuliko mziki wa kwenu. that's the point.

kama issue ni kuwa na fastest internet inayowapa access ya youtube, mbona video za wanamziki wenu zina views chache?

mbona kuna uchache wa comments kwenye video za wanamziki wa kenya?

kwanini views na comment za wakenya ziwe nyingi kwenye videos za watanzania tu na sio video za wakenya?.

ukitaka ushahidi nitakuletea.
video za Wakenya zinaweza kuwa na views/comments chache kwa sababu ni Wakenya pekee yake ndio hutiririka kwa Kenyan video clips. sababu gani, Wakenya wanaelewana wao wenyewe kwa wenyewe haswa ile lugha inayotumika kwenye wimbo huo. i don't know kama unweza msikiliza timmy t-dat ukaelewa lugha anayotumia (sheng).
sasa tukija kwa views za wabongo huwa tunajumlisha idadi ya Wakenya na wabongo wote ndio maana inakuwa na views nyingi.

kuna wakati D¡amond aliwapongeza Wakenya kuwa mafans wake wakubwa iTunes, why? wabongo hawaonekani. ndii maana hata aka-launch album yake Kenya badala ya bongo. akili kichwani
 
tukisema vijana wa kenya huwa mnafatilia/mnasikiliza sana mziki wa tz huwa mnabisha....asante kwa post yako.
Kufuatilia ni kitu tofauti na kusikiliza...labda uje na jambo jngne...
Alafu wakenya wanapenda mziki mzuri si bongo flava pekeake...
Wasanii wabongo wanaofagiliwa sana kenya
1.diamond..anakubali na wngi
2.harmonize..anakubalik na wngi
3.rayvany...(pwani...nairobi bado hajakubalika kw sana..ila anamziki mzuri)

*mbosso na lavalava labda watie presoo kiasi...

4.navy kenzo..wanakubalika ila kw zile hit songs pekeake..
5.aslay...(pwani kw sana)
6.duh!!sijui hta nimueke nani hapa
 
That's very simple English I posted for your information and there's a coherence in the structure of my sentences, the grammar is good and makes sense. Unlike you who tries to use big words only to come up with meaningless nonsensical paragraphs. See son, when I say you need some schooling I mean it. I am not just being belligerent on you. Every time you try to post something in English, it backfires, you try Geography, it backfires (what kind of idiot can't tell which country Jakarta city is?). The only thing you seem to shine in is matusi ya Uswahilini. Son, do yourself a favor and go to school otherwise no serious person can make sense of this gibberish you post. Better still, avoid English and avoid anything academic - it exposes your illiteracy
I do not care how you perceive what I post because it is your own opinion. For so long, you have regarded us as uneducated and stupid. Tell you what, those ages are gone and now we are in higher places than you have ever attained. Do yourself a favor, If you think that I am too fierce for you, don't tag me but If you are smart enough like an adult, we'll bury the hatchet and argue like adults. Sio kuja hapa unajifanya sijui unapanga sentensi zako katika grammatical order, who cares? na tabia ya kutuona sisi kama wajinga uache maana nitakuaibisha hapa hadi ushangae kama ulidhani siku hizi elimu ni privilage kama zamani, labda ni hiyo nchi yenu yenye ubaguzi na ukabila. Nadhani unanielewa
 
video za Wakenya zinaweza kuwa na views/comments chache kwa sababu ni Wakenya pekee yake ndio hutiririka kwa Kenyan video clips. sababu gani, Wakenya wanaelewana wao wenyewe kwa wenyewe haswa ile lugha inayotumika kwenye wimbo huo. i don't know kama unweza msikiliza timmy t-dat ukaelewa lugha anayotumia (sheng).
sasa tukija kwa views za wabongo huwa tunajumlisha idadi ya Wakenya na wabongo wote ndio maana inakuwa na views nyingi.

kuna wakati D¡amond aliwapongeza Wakenya kuwa mafans wake wakubwa iTunes, why? wabongo hawaonekani. ndii maana hata aka-launch album yake Kenya badala ya bongo. akili kichwani
swala hapa si lugha ya sheng, kumbuka mziki ni universal, kuna miziki inapendwa sana duniani, imeimbwa kwa kifaransa, kilingala, kilatini, kispanish nk.

mziki wa kenya ni mbovu na ndio sababu pekee inayopelekea mziki wenu upate views na comment chache, msisingizie sheng.

your music is ugly. period.
 
I do not care how you perceive what I post because it is your own opinion. For so long, you have regarded us as uneducated and stupid. Tell you what, those ages are gone and now we are in higher places than you have ever attained. Do yourself a favor, If you think that I am too fierce for you, don't tag me but If you are smart enough like an adult, we'll bury the hatchet and argue like adults. Sio kuja hapa unajifanya sijui unapanga sentensi zako katika grammatical order, who cares? na tabia ya kutuona sisi kama wajinga uache maana nitakuaibisha hapa hadi ushangae kama ulidhani siku hizi elimu ni privilage kama zamani, labda ni hiyo nchi yenu yenye ubaguzi na ukabila. Nadhani unanielewa
 
Nyash never goes to SA or Nigeria to shoot or market his music..diamond does that shoots videos wih white women,produces them in SA or Nigeria and the producers are either SA men or nigerian who then market his songs...Nyash releases his hits in Kenya with a kenyan producer and still manages that he doesnt even promote his songs on social media.
Kwanza hamna producer wa video ana promote kazi ya msanii. Mfano Godfather analipwa pesa ya kutengeneza video yenye quality tu kazi yake inaishia hapo. Management ya msanii ndiyo inawajibu kuisambaza na kuipromote. BTW ni expensive sana kufanya video S.A Kenyan artists inawawia vigumu.
 
swala hapa si lugha ya sheng, kumbuka mziki ni universal, kuna miziki inapendwa sana duniani, imeimbwa kwa kifaransa, kilingala, kilatini, kispanish nk.

mziki wa kenya ni mbovu na ndio sababu pekee inayopelekea mziki wenu upate views na comment chache, msisingizie sheng.

your music is ugly. period.
ok. bila Kenya, your A-list celebrities are dead as a dodo. kubali tu, you need Kenya to catapult your musicians to higher levels. hata Kofi Olomide agrees to this.
 
Nyash never goes to SA or Nigeria to shoot or market his music..diamond does that shoots videos wih white women,produces them in SA or Nigeria and the producers are either SA men or nigerian who then market his songs...Nyash releases his hits in Kenya with a kenyan producer and still manages that he doesnt even promote his songs on social media.
povu
 
ok. bila Kenya, your A-list celebrities are dead as a dodo. kubali tu, you need Kenya to catapult your musicians to higher levels. hata Kofi Olomide agrees to this.
hiyo sasa hasira.... huna point

pata sindano..
 
Back
Top Bottom