Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kizingo ndo hyo!!!
Mwanza na arusha vp?
KZN.jpg
new-picture5.jpg
penthouse-dining.jpg
 
Hivi wewe KOMORA ni kilaz wawapi eti unaleta kidaraja ambacho Tz zipo kama 900,hahahahhahahah,huku Tz sku hizi tunaongelea cable stage bridge lanes 6-8hahahah .
 
Hahahahhahahah,Kilifi bridge ndiyo daraja refu kenya,nzima ???? HALAFU NI 420m tu hahahahhahahahhahahah,by the way Kwangwaru imefikisha views 26 million youtube
 
Huyo kilaza yupo Kenya wallahi. Nimetambua sauti yake. Kumbe amekuwa akikesha usiku na kushinda mchana kuchokoo ndio ajue identity yangu. Sasa amejua mimi si wa rika lake. Natumai ataacha kunidhalilisha na kunipondaponda hapa.




I hope this get to you
I hope you see this through
 
Sina muda na kilaza kama wewe vipi ile mtambo yenu ya gongo/sgr uchafu.Ubora wake ni zaidi 000000
Sasa unataka kulingashi expensive things na hyo yenu cheap...mwanzo ujenzi wake wa hali chini sasa...napia katika rankings sgr ya tz na ethiopia ni za umeme ila ni class 2..ila ya kenya ya diesel ila ni class 1...sasa jiulize kwnn
 
Ona huyu msee!!navy kenzo tu hapo..ila kiba game ishampiga chenga..nandy,ben pol na jux..unaeza ingia club na usiskie dj akiplay nyimbo zao till dawn
sio kila nyimbo inachezwa club uwezi kusikia nyimbo kama ya john legend-all of me ichezwe klabu watu kama jux na benpol wanaimba rnb so ni ngumu kuchezwa club but jaribu kufatilia youtube then utanambia ipo vipi
 
Back
Top Bottom