Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

currently azam tv from tanzania is the first and only television in east and central africa that uses state of the art 3d virtual sports enhancements during football analysis.

it's a fact, but for monkeys it's something they won't agree with it,will attempt to come up with mere words in order to dispute it.

images below were captured today during a football derby between simba vs yanga.
View attachment 882669View attachment 882670View attachment 882672View attachment 882673View attachment 882674
Remind them that even that pitch they see isn't in Europe, but here in Tz
Huenda hata hawaelewi.
 
Well well well. Nimeona za Dodoma sasa nasubiri dar suburbs.
Hizo View attachment 882680
IMG_20171230_192304_336.jpg
 
Tunasema Dodoma ni jiji lakini unapokaribia kuingia mjini maeneo kama Ipagala unakutana na vinyumba vya tope kitu ambacho huenda hata wageni kinawashangaza sana.

Kibaya zaidi maeneo yenyewe yanaonekana hayajapimwa na hivyo kutoa picha mbaya kwa linaloitwa jiji.

Mfano mwingine ni uwanja wa ndege uliopo hapa Dodoma ambao ni mdogo lakini hauko busy ndege za kuhesabu sasa huo mkubwa utaojengwa huko Msalato si ajabu nao ukawa idle tu muda mwingi.

Kwa mtazamo wangu,kuna kazi kubwa sana kuifanya Dodoma ionekane ni Jiji na kuna gharama kubwa sana ya kuibadilisha Dodoma.
Nitakuja kutembea. Inshallah.
 
Sasa huu ndio uchafu wenyewe,
Enzi hizo tulikuwa tunaita Vipanya
Can't register a PSV carrying 8 passengers in city halafu tutegemee kuepuka JAM, labda uwe Taxi.
These things won't be allowed in Tz Roads
Wakenya mko nyuma sana kwenye Mambo ya Mass Transit.
Heheee!!hicho kitu kinabeba 14 passengers..alafu cheki hzo graffiti wewe wacha hasira
 
Remind them that even that pitch they see isn't in Europe, but here in Tz
Huenda hata hawaelewi.
naona wame google mpaka wamechoka so wameona ni heri tu wapite kimyakimya.

kwanza sidhani kama wanajua 3D virtual sports enhancements kitu gani...
 
Matatu culture bro imeajiri vijana wengi sana...unafkiria graffiti ni ngapi how much wewe
Modern mass transit remains the most efficient and effective way, you need to move out of that.
Hatuwezi endelea na hivyo vidude eti graffiti and nini sijui imeajiri kina nani,
no more!
 
Back
Top Bottom