Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya kula hyo nkm kawa...utakuwaje kiongozi alafu ukose hata ka mtaji kakujiendesha badae...

Ila ukweli wakenya magoli yao makali aisee...mpira wa kufunga na kichwa jamaa anafunga kw mkono km vile maradona

Lkn sai uhuru anajaribu kupambana na hao wasee..bt usiseme bongo km wanasiasa hawachukui hta shillingi kumi..
Haha uku sasa hvi kwa moto, utajua jinsi utavyoiba lakini usishtukiwe tu,maana watakumaliza,hii inasaidia sana walau kupunguza huu ujinga wa watu kujitajirisha kupitia miradi tena vifua mbele bila kuogopa chochote ilikua too much
 
Hivi west Africa wanatuzidi wapi zaidi? Maana Lagos imetuzidi kiuchumi,Accra inasumbua na Abidjan, are we getting any better?Au blahblah tu ndio tunaweza
 
Wazae, wakati bado mnapingana Nai versus Dar oneni Lwanda. Lwanda imeendelea sana ukikumbuka Angola ilikuwa vitani miaka ishirini iliyopita. Lwanda ni kubwa pengine kushinda hizi capital city zetu tunazogombania kila siku. Cheki video

na ukumbuke pia ilipewa uhuru na tanzania hio usisahau tanzania ilijitolea kiuchumi na kiutawala kuipa angola uhuru na amani😂😂😂😂👏👏👏👏👏
 
na ukumbuke pia ilipewa uhuru na tanzania hio usisahau tanzania ilijitolea kiuchumi na kiutawala kuipa angola uhuru na amani😂😂😂😂👏👏👏👏👏
Cuba ndio iliyoipea uhuru. Unadhani unaongea na mtu hajasoma historia?
 
Kipovu cha taratibu umekitoa.
Lamba lolo
AzlKOfrxc7FB_IMG_15236967597558799.jpg
 
Haha uku sasa hvi kwa moto, utajua jinsi utavyoiba lakini usishtukiwe tu,maana watakumaliza,hii inasaidia sana walau kupunguza huu ujinga wa watu kujitajirisha kupitia miradi tena vifua mbele bila kuogopa chochote ilikua too much
Hapo sasa...wamejaza hela matumboni mwao tu..
 
Hivi west Africa wanatuzidi wapi zaidi? Maana Lagos imetuzidi kiuchumi,Accra inasumbua na Abidjan, are we getting any better?Au blahblah tu ndio tunaweza
Hiz miji miwil abidjan na accra bado sana kwa dar,abidjan wamejenga tu gorofa chache pembezon wa bahar basi,accra hamna cha maana.
 
Back
Top Bottom