Sista Horn Kombe Masufuri
JF-Expert Member
- Sep 19, 2018
- 450
- 119
Kwa hivyo moshi inaweza linganishwa na estates ambazo ziko na private houses Kenya?Weka picha...Moshi ni private houses estate sidhan sina hakika
Kwa hivyo moshi inaweza linganishwa na estates ambazo ziko na private houses Kenya?Weka picha...Moshi ni private houses estate sidhan sina hakika
Unaijua Moshi?Kwa hivyo moshi inaweza linganishwa na estates ambazo ziko na private houses Kenya?
Zile picha unaonanga zikipostiwa hapa za estates kubwa kubwa ziko kiambuWeka picha...Moshi ni private houses estate sidhan sina hakika
La.Unaijua Moshi?
Zile picha unaonanga zikipostiwa hapa za estates kubwa kubwa ziko kiambu
Zile picha unaonanga zikipostiwa hapa za estates kubwa kubwa ziko kiambu
Ziko poa sana izo estate zenu,Moshi kuna nyumba nzuri pia sana mjini hadi vijijini,Atleast japo sio town kubwa kama arusha,Arusha ndio kuna estate kadhaa
Upo vizuri sana katika mijadala wala sijaona ukitukanana kama hao wengine. Kama wabongo wote hapa wanaweza kukuiga basi tunaweza kukuzana kiakili na kimaendeleo. Wengi wenu ni mitusi tuZiko poa sana izo estate zenu,Moshi kuna nyumba nzuri pia sana mjini hadi vijijini,Atleast japo sio town kubwa kama arusha,Arusha ndio kuna estate kadhaa
Tuache utani nimekwambia Nairobi yenyewe ukitoa CBD,upper hill,Westland kiambu itafanya Nairobi ipumulie Kwa mashineUnaijua Moshi?
Baathi ya miji midoho ambayo inajengwa ama kupangwaUnaijua Moshi?
Kiambu is a county with many towns. Unless you want us to pick one town.Ok, let's go Kiambu Vs Iringa , 10th Town in Tz.
wikipedia isn't a reliable sourceWikipedia
List of cities and towns in Tanzania 31
Kenya 100
Enjoy Good Music from Talented Tz International Artists.
Is this hamisa?Enjoy Good Music from Talented Tz International Artists.