Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unataka kulingashi expensive things na hyo yenu cheap...mwanzo ujenzi wake wa hali chini sasa...napia katika rankings sgr ya tz na ethiopia ni za umeme ila ni class 2..ila ya kenya ya diesel ila ni class 1...sasa jiulize kwnn
Lakini itambulike kenya haina Sgr bali mtambo wa gongo...
 
sio kila nyimbo inachezwa club uwezi kusikia nyimbo kama ya john legend-all of me ichezwe klabu watu kama jux na benpol wanaimba rnb so ni ngumu kuchezwa club but jaribu kufatilia youtube then utanambia ipo vipi
Wacha porojo hapa...hujui km club kuna vipindi tofauti tofauti...

Wasee wa reggea mpo..hapo kuna kucha...kenya kutamu aisee...watu hawakomai na upande mmoja...kuna mda wa dancehall...yani we acha tu...

Si km bongoclub inachezesha nyimbo za tz usiku kucha..eti kisa uzalendo
 
Sasa unataka kulingashi expensive things na hyo yenu cheap...mwanzo ujenzi wake wa hali chini sasa...napia katika rankings sgr ya tz na ethiopia ni za umeme ila ni class 2..ila ya kenya ya diesel ila ni class 1...sasa jiulize kwnn
Huna unachojua wenzako wote hukiri apa kua mmeliwa Ila ww kenge unabisha
 
Lakini itambulike kenya haina Sgr bali mtambo wa gongo...
Cheki mwanaume kazini...huyu anapiga misele kinoma...yani anakubebea vitu double...
Huez linganisha huyu mwanaume na wanaume wa dar wenye wako na dressing table kw room zao
1573104_0.jpg
 
Huna unachojua wenzako wote hukiri apa kua mmeliwa Ila ww kenge unabisha
kenya kula hyo nkm kawa...utakuwaje kiongozi alafu ukose hata ka mtaji kakujiendesha badae...

Ila ukweli wakenya magoli yao makali aisee...mpira wa kufunga na kichwa jamaa anafunga kw mkono km vile maradona

Lkn sai uhuru anajaribu kupambana na hao wasee..bt usiseme bongo km wanasiasa hawachukui hta shillingi kumi..
 
Usilinganishe mwanza na upuuz,hiyo mombasa imeshapigwa na zanzibar.
Alafu zanzibar km nchi...imeshinda mombasa(city) kw kitu gani haswa mayb kw watalii ila sidhani km gap ni kubwa...bt kw sekta zngne mombasa imeichakaza hyo nchi vibaya sana
 
Back
Top Bottom