Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahaha.... azam ni bad news.

they should bring all tv stations in kenya to compete with azam tv.
hakuna tv station yoyote ya kenya inaeza kaa meza moja na azam hakuna na haitatokea😂😂😂😂👏👏👏👏
 
Safi sana Azam Tv,hamna tv yoyote ya kenya inaweza kushindana nayo,hiyo Citizen tv ambayo ni number 1 kenya haiwez hata ITV a super brand television channel in East africa 4 times in a row.
 
My dear one,
As you may be aware that outside nairobi Kenya is Hellhole, kitu pekee reasonable out of Nairobi is Port of Mombasa.
You can chose any region in Tz and here we battle it with your Lovely Kiambo.
You are welcome my lovely #Sista Hon Kombe Masufuri#
lol....hata kama ni blind patriotism......hiii ni bhangi ijatolewa mbegu
 
chekini kw top 10 mabongolala mnachezea wapi..View attachment 879765
kwa hiyo uko proud kuwa number 6 on this list? Nigeria, the biggest African economy is number one na kwasababu ya chuki zako za kitoto ukaona unatuinsult. Baba hapa nisingerelply kama kenya isingekuwa kwenye list ila as long as it's there, you are stupid
 
wenzetu wa kujenga madaraja na kuyaita flyover hamjambo
kilifi bridge hyoView attachment 879791View attachment 879792View attachment 879793View attachment 879794
pokea hii
CgWz4KAW4AACeUJ - Copy.jpg
CgWz4KHWIAAX6-M - Copy.jpg
CgWz4KAW4AACeUJ - Copy.jpg
CgWz4KHWIAAX6-M - Copy.jpg
 
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki!!! yani una fikiria uzuri ama umaarufu wa media house ni news desks??, fala wa mwisho, Tanzania ni mara ya kwanza kupata media house ya standard hiyo, of which ushamba wenyu unadhihirika wazi, ni kama mwaka jana kuna mtz alileta picha za lorry za kuzoa taka za kisasa, na mwingine anaweka picha ya speed gun akisema Kenya hakuna hizo!!, things I saw in the 90s nikiwa primary!!, ndio zinafika Tz, poleni kaka, mnafika mdogo mdogo. Lakini Ichoboy1 kwa hili la Tv I didnt expect such argument from you!! Ni aibu, ulijishusha lini? Hii wachia washamba, discuss other things, I thought umeanza kufika level ya Geza, ila pia yeye ni propagandist though not always., kumbe bado!!
 
Ila nje ya dar ni mizoga
tanzania hata dar yenyewe haijadevelop.........ni vigumu kuona maendeleo huko.....kwanza nilipotravel from isebania to mwanza nilishangaa sana........the level of poverty in rural tanzania is extremely high
 
Back
Top Bottom