Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
magu wewe ni chumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
06B96DB5-12F4-42D2-8B9B-64B636642EC6.jpeg
 
shirika lako mwenyewe pamabana nalo sina muda wakuanza kukutaftia data wakat shirika ni lenu linaendesha hasara miaka mitano sasa na sababu ya hasara ni leased aircraftsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

punguza hasira bro...mi nataka idadi na mwaka tu..
leo utanyooka tu..mwenzako jana kashindwa kuleta maelezo ya ile picha na wewe pia naona unaelekea hko hko
 
we waijuwa mathare ama vp..nadhani umesimuliwa kijiweni...mathare kuna barabara kali sana ambayo kuipata bongo ni ndoto..ile mijengo iliyojengwa kibera tandale kuipata pia ni ndoto...

ukiumwa leta picha za kibera alafu zngne hapo hapo udaishe n za mathare
sipendi ngonjera, ungekuja na evidence zinazopingana na uhalisia unaojulikana.
 
asante magufuli kwa kumnyima ajira tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
At least si kama ile iliosababisha vifo vya watu zaidi ya mia mbili .Iliangusha magari mangapi lakini?
hio ni ajali kama vile ajali za aina zote usitafute neno lakuzungumza kwenye ajali narudia kukwambia hakuna nchi yoyote africa mashariki na kati yenye modern marine transport zaidi ya tanzania hakunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hio ni ajali kama vile ajali za aina zote usitafute neno lakuzungumza kwenye ajali narudia kukwambia hakuna nchi yoyote africa mashariki na kati yenye modern marine transport zaidi ya tanzania hakunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lazima uangushe kicheko unapotoa hoja zako. Inawezekana wewe na kadada ni wacheshi sana. And why is he ignoring me from yesterday?
 
Back
Top Bottom