Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

usifananishe wanawake wa kitanzania waliopo jamiiforum na wale wa instagram.

jf imekusanya wanawake toka katika tabaka mbalimbali za kijamii, wapo wachumi, wanasheria, madaktari, waandisi na kadhalika.

kutokana na usomi wao na profession zao, wapo wanawake wenye uwezo wa hali ya juu wa kuchambua mambo na kujenga hoja kuzidi vivulana vyote vijobless vya kikenya. ni vile tu hawapo interested na issues za kenya ndio maana huwaoni kwenye thread hii.

moja kati ya wanawake wanaoheshimika sana hapa jamiiforum ni bibie Sky Eclat. ni mjenga hoja mzuri, pia yupo well informed na masuala ya nchi jirani hususani kenya. nitaomba Sista Horn Kombe Masufuri aweke emotion zake pembeni pale Sky Elact atakapo amua kuja kuchangia hoja zake kwenye thread hii.

sista horn itampasa ajikite katika kujibu hoja za mwanamke mwenzie badala ya kuishia kulalamika hukusu kudhalilishwa, mara wanawake wa kenya this, wanawake wa kenya that and blablabla.

Copy to Sky Eclat
Nyinyi wanaume wa bongo land ni wabishi kupindukia .Ambia huyo dem aje hapa nimwite gay hata yeye asikie vile wengine hufeel wakitusiwa
 
Fool watu 250 walikufa tz (Let them r.i.p) hakuna mkenya alishinda akipost na ma emogii..Nugu
walikufa kwenye ajali lakini chakushangaza hao wameuliwa na binaadamu tena KDF😳😳😳😳😳😳😳😳
 
let the truth be told, you are the good debater than all kenyan men whome we have been debating with since 2017.
Wewe unadhani nimekuwa nikifuatilia nyuzi hapa for how long? Nilikuwa nawajua nyote. Hata niksajli nilkwa najua napatana na akina nani. Jamiiforum is open for everyone to see even without registering

 
What's this? Don't tell me you just castrated yourself. And here I thought you were a l****an
😂😂😂😂👇👇👇👏👏👏👏
B33AC262-C6D4-4B63-B65C-84F7F0944EB8.jpeg
 
Tanzanians leteni mkoa mmoja wa tz ambao ni tajiri kuliko kaunti ya kiambu Kenya
My dear one,
As you may be aware that outside nairobi Kenya is Hellhole, kitu pekee reasonable out of Nairobi is Port of Mombasa.
You can chose any region in Tz and here we battle it with your Lovely Kiambo.
You are welcome my lovely #Sista Hon Kombe Masufuri#
 
Back
Top Bottom