Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nipe source tafadhali,wacha nikusaidie kidogo data kuto IMF, world Bank,KBS,Cbk.....usiniletee gazette za kufunga nyama na twitter.
ahahhahaha usilie basi kenyatta kashauza nchi maana dr ndiii mulimuona mjinga sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

labda nikufahanishe kuhusu twitter, ndio sehemu pekee habari za kuaminika hupatikana uzuri wa twitter ukileta habari za uongo wanafunga account yako
 
Let me translate for you because you don't seem to understand anything written on that article..... rais ataacha deni la $69bln akimaliza mhula wake 2022 vile hii article imekosa kuongeza ni ati GDP ya Kenya Itakua plus/minus +-$300bln ambayo itakua 23% debt to GDP ratio.
naoana unapiga hesabu za kupanga bajia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
ahahhahaha usilie basi kenyatta kashauza nchi maana dr ndiii mulimuona mjinga sana
dr ndii ndo nani kenya..mbna wanichekesha...ikiwa mi mwnywe nilimpa kura odinga nikiwa mombasa...bt siasa zikiisha watu huungana na kujenga taifa...unafkiria kenya kuna vilaza km wa ccm na chadema..milele mtu ywaabudu chama..wale kila kitu ndioo na wengine kila kitu hapana...
hyu ndii namshuku ako na damu ya ya kitanzania
 
dr ndii ni miongoni mwa wachumi wakubwa sana kenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

ahahhahaha usilie basi kenyatta kashauza nchi maana dr ndiii mulimuona mjinga sana

labda nikufahanishe kuhusu twitter, ndio sehemu pekee habari za kuaminika hupatikana uzuri wa twitter ukileta habari za uongo wanafunga account yako
Nipe source wacha porojo..... twitter nikama Tu jamii forums ama Facebook Tu wacha hadithi.....baadhi ya source za kuaminika
1.worldbank
2.imf
3.central bank of Kenya
4.kenya bureau of statistics
Nipe source kutoka izo nne ama uaache porojo
 
dr ndii ni miongoni mwa wachumi wakubwa sana kenya

Huyu ni tundu lissu wa Kenya wakuikosoa serikali lakini tofauti ni ati hatuwezi mpiga risasi ana Uhuru wa kusema opinion zake kama mkenya wowote ule.
 
wenzetu wa kujenga madaraja na kuyaita flyover hamjambo
kilifi bridge hyo
Screenshot_2018-09-27-23-28-27.jpg
sea-side-restaurant.jpg
Kilifi_Bridge_1991.jpg
18210_thumb2.jpg
 
Huyu ni tundu lissu wa Kenya wakuikosoa serikali lakini tofauti ni ati hatuwezi mpiga risasi ana Uhuru wa kusema opinion zake kama mkenya wowote ule.
gava inamuona mjinga..ju hta hana facts...udaku tu
 
cheki mtwapa mtwapa mwanzo...moorings inapatikana mtwapa bridge..mnakaribishwa...
Screenshot_2018-09-27-23-46-01.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-48-48.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-50-09.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-46-35.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-47-19.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-48-34.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-51-24.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-46-59.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-48-56.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-49-41.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-48-27.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-51-33.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-50-55.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-50-40.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-49-34.jpg
Screenshot_2018-09-27-23-48-48.jpg
 
Nipe source wacha porojo..... twitter nikama Tu jamii forums ama Facebook Tu wacha hadithi.....baadhi ya source za kuaminika
1.worldbank
2.imf
3.central bank of Kenya
4.kenya bureau of statistics
Nipe source kutoka izo nne ama uaache porojo
we ulifkiri hawa wanatoa taarifa kwenye matopeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
http://www.webbernew.com/news/kenyapresident-to-leave-country-with-u-s-69-billion-debt-at-end-of-his-term

Kenya:President to Leave Country with U.S.$69 Billion Debt At End of His Term β€” INSIDER

Kenya:President to Leave Country with U.S.$69 Billion Debt At End of His Term

Uhuru to leave Kenyans with $69 Billion debt at end of his term
 
kumbe ulianza kumjua juzi...walipita wengi km yeye...ndio manake wenzake wamemuachia ukumbi pekeake...anatamani kuwa rais
huyu jamaa namjua muda mrefu sana na haya yanayotokea leo aliyasema miaka minne iliopita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini mukamuona mjinga leo hii sasa mumefkiri hatua ya kukopa debt kulipa debtπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tax mpaka kwenye fuel na internet services
 
Nipe zako za katoni za mhindi.....alafu unipe source just deni la Kenya 2018 ni $69bln....nangoja tafadhali
acha hasira basi kua na deni hakumaanishi mutakufa ila nchi itauzwa nyie mutabaki kua watumwa hamutakufa so dont take it broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
dr ndii aliyase leo hii kumbe 70% of revenue yote inaenda kwenye debt 😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom