Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahaha.... azam ni bad news.

they should bring all tv stations in kenya to compete with azam tv.
Studio bado haina hadhi..
Lete vitu km hv ndio tuongee
A-file-photo-of-Jeff-Koinange-at-Citizen-TV-studios.jpg
 
Safi sana Azam Tv,hamna tv yoyote ya kenya inaweza kushindana nayo,hiyo Citizen tv ambayo ni number 1 kenya haiwez hata ITV a super brand television channel in East africa 4 times in a row.
Hehee!!ushaanza kutaja stations mwitu...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki!!![emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani una fikiria uzuri ama umaarufu wa media house ni news desks??, fala wa mwisho, Tanzania ni mara ya kwanza kupata media house ya standard hiyo, of which ushamba wenyu unadhihirika wazi, ni kama mwaka jana kuna mtz alileta picha za lorry za kuzoa taka za kisasa, na mwingine anaweka picha ya speed gun akisema Kenya hakuna hizo!!, things I saw in the 90s nikiwa primary!!, ndio zinafika Tz, poleni kaka, mnafika mdogo mdogo. Lakini Ichoboy1 kwa hili la Tv I didnt expect such argument from you!! Ni aibu, ulijishusha lini? Hii wachia washamba, discuss other things, I thought umeanza kufika level ya Geza, ila pia yeye ni propagandist though not always., kumbe bado!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sijapata kushuhudia mtu akitapika povu na kurudisha chenchi kama huyu😂😂😂😂😂👆👆👆👆👆👆👆👆
 
kwa hiyo uko proud kuwa number 6 on this list? Nigeria, the biggest African economy is number one na kwasababu ya chuki zako za kitoto ukaona unatuinsult. Baba hapa nisingerelply kama kenya isingekuwa kwenye list ila as long as it's there, you are stupid
Heheee!!si nyi mlisema ya kwamba kenya maskini ni wengi kushinda tanzani..mezaa hvo vidonge bana
 
Heheee!!si nyi mlisema ya kwamba kenya maskini ni wengi kushinda tanzani..mezaa hvo vidonge bana
yah that's the truth. Ndio maana nasema kama mngekuwa nje ya hio list nisingesumbuka kukujibu ila kama mpo humu, ni ujinga kujivunia kuwa namba sijui ngapi kwenye hii list
 
Back
Top Bottom