Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

calculation za uchumi sio sawa na hesabu za dukani budaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona ni kama vile unahesabu bajia
wacha ku ruka ruka..fanya hzo calculations hapo..mbna hesabu rahisi sana hyo...hta dadangu mdogo anaeza fanya na akatoa jibu bila hta usumbufu
 
emoji23]Hamisa anado nini kenya? She is not trending. Kwanza hakuna mtu anajua ako kenya ati analala Roysambu alafu interview anafanyia Ebru Tv yet she has a bungalow in Tz.View attachment 879127
Hakuna mtu anajua kuwa hamisa yuko Kenya!!
We umejuaje???..au we si mtu?
Uwe unaposti vitu vya maana kuna dada yenu humu sista masufuri,msijidharaulishe!
 
Prime minister??? how!!
Come back to your sense kenyan boy..!!
Jasho mtatoa mtaitana kenyan boy or whatever lakini mjue sibanduki. Sikuwa nikae hapa for long but now you are forcing me
Mtajua hamjui.
Me against all tanzanians men here.
Wow! Am winning.
A single lady fighting against powerless men
Victory is mine.
Kenya the home of heroes.
Chauvinists found only in Tanzania the home of loosers
 
You ain't a lady,but let us assume...
Lakini kwa nini nyie mademu wa kikenya mnapenda kuwadunda waume zenu??
 
sista horn...achana na hawa wasee...wasiku force ufanye vitu wanataka..mwanzo madem wa bongo karibia wote vilaza..na hawana uwezo wa kujadili mada km hizi..akili zao ni zero kqbiasa...wanachoweza wao ni kwenda kigodoroni na kucheza singeli..zaidi ya hapo utakawakuta jamvini waki sambaza umbea...
wanaona wivu kuona mdada wa kenya anawahemesha...mwanzo hawajui km madem wa kenya wako well educated...
we endelea kuwachoma sindano tu...na maneno yao wala yasikunyime mda wa kuwapa dose...
 
Naona uliambukiza wenzako ugonjwa wa ubaguzi wa kijinsia .I've seen that you have reformed.

usipofanya vile nilivyo-request, watazidi kukusumbua sana.

kwani kuna ugumu gani kupiga picha mkono wako ukiwa umekamata karatasi yenye maandishi kuhusu mimi, ID yangu au jambo lolote kuhusu JF?.

nadhani huwa unafurahia kudhalilishwa. uwezo wa kuzuia watu wasiendelee kuku abuse upo mikononi mwako wewe mwenyewe.
 
Mstcheeeeeeeeeeew!
Jasho mtatoa mtaitana kenyan boy or whatever lakini mjue sibanduki. Sikuwa nikae hapa for long but now you are forcing me
Mtajua hamjui.
Me against all tanzanians men here.
Wow! Am winning.
A single lady fighting against powerless men
Victory is mine.
Kenya the home of heroes.
Chauvinists found only in Tanzania the home of loosers
wape dose ndo wajuwa wanawake wa kenya hawawazi kuhusu chini km wa kwao...
madem wa kenya wanajuwa kuchange ideas haraka haraka....
siwalaumu sana wabongo..nalaumu mfumo wao wa elimu
 
You ain't a lady,but let us assume...
Lakini kwa nini nyie mademu wa kikenya mnapenda kuwadunda waume zenu??
Huko hamdundwi ndio maana hamna heshima hata kidogo. Nimegundua kwamba wanaume wa tz ni wabaguzi wa kijinsia ndio maana hawanikubali humu jf .Na kama wanaume wa Kenya wanatandikwa na wake zao just imagine how kenyan women would do to tanzanian men who are full of cowardice. Mwanamke wa Kenya anaweza chapa vivulana vitano vya tz pamoja bila usaidizi wowote
 
Hakuna mwanaume anapigwa na mwanamke,
Viwanaume vya Kenya ni vidhaifu na vilevi vya chang'aa..
 
wape dose ndo wajuwa wanawake wa kenya hawawazi kuhusu chini km wa kwao...
madem wa kenya wanajuwa kuchange ideas haraka haraka....
siwalaumu sana wabongo..nalaumu mfumo wao wa elimu
Nakwambia hawa watajuta kuzaliwa. Watajua wanawake wa Kenya wana haki na hawakubali kubaguliwa kama wale wa kibongo. Before I reveal my identity I will first teach them how to respect women
 
kumbe hta kingereza huelewi...soma vizuri uelewe..unafkiria uhuru anaondoka kesho..hehee..and then kw fikra zako unafkria gdp ya kenya by 2022 itakuwa ngapi...kumbe wewe kilaza hv ...haya sasa piga hesabu vizuri bro..69b$ mbna deni dogo sana kw gdp ambayo kenya itakuwa nayo 2022..nakuhakikishia hta 50% ya gdp 2022 haitokaribia...hya njoo kivingine nikutengeneze
kinachonifurahisha ni vile mutapata tabu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ikiwa sasa hvi iko 60% do u think hamutakopa tena wakat pesa ya kuendesha nchi hamunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kama kweli wewe ni mwanamke,nimeona uko vizuri upstairs kuliko hivi vijamaa vya kikenya vilivyokuwepo hapa,they always post nonsense...
Vivulana vya kikenya dada yenu kawazidi kwa ubongo ni aibu,muanze kuposti vitu vya maana monkey nyie..
hahahaha.....post chonganishi.
 
Back
Top Bottom