Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usisahau GDP itakua over $300bn....so $69bn is just pocket change.
jifariji nyangau, GDP yenyewe mchango wa mkenya ni neglible, makampuni makubwa, viwanda, biashara kubwa, mashamba yenye rutuba vyote vimeshikwa na wageni!
 
Your so over ambitious my fren ,ur current GDP is $80+bln the country of over 45Million people ,dreaming abt $300bln now it's like flight of ideas
 
nisisahau itakua lakini haijakua😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏 ikiwa munadai GDP of 80b alaf debt 70b hahahah ama kweli subirieni kuuzwa tu
 
Hamna na haitakaa itokee mji wowote wa TANZANIA uwe na mbanda kama ya KIBERA, KARIOBANGI, MATHARE and alike
we waijuwa mathare ama vp..nadhani umesimuliwa kijiweni...mathare kuna barabara kali sana ambayo kuipata bongo ni ndoto..ile mijengo iliyojengwa kibera tandale kuipata pia ni ndoto...

ukiumwa leta picha za kibera alafu zngne hapo hapo udaishe n za mathare
 
Your so over ambitious my fren ,ur current GDP is $80+bln the country of over 45Million people ,dreaming abt $300bln now it's like flight of ideas
aisee jamaa ndoto yake imenyooka from 80 coocked GDP to 300😂😂😂😂😂😂
 
nisisahau itakua lakini haijakua😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏 ikiwa munadai GDP of 80b alaf debt 70b hahahah ama kweli subirieni kuuzwa tu

heheee!!eti 70b....yaonyeshe ukiskia jina kenya huaga watokwa na povu
 
jifariji nyangau, GDP yenyewe mchango wa mkenya ni neglible, makampuni makubwa, viwanda, biashara kubwa, mashamba yenye rutuba vyote vimeshikwa na wageni!

leta hyo list ya kampuni kubwa ambazo zinashikiliwa na wageni..na mi pia nikuletee wahindi wanavyo wachakaza kwenu...
hebu nipe top ten richest people wa tz
 
Back
Top Bottom