Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

meanwhile..
IMG_20180927_074020.jpeg
IMG_20180927_074031.jpeg
 
Najua Kenya ni "K"...lakini kumbe hata Kenyatta naye " K"....daaah!
 
umekosea bro..ungeimba ule wimbo wenu wa modern hospital in east and central africa labda unge eleweka...then cha kushangaza hospitali nzuri ila madaktari zero..labda warudi shule tena..mwanzo bongo kuna madaktari wangapi vile
madaktari zero? hahahahhaa don't make me laugh and of all countries that kenya would have demanded doctors from, Tanzania had to be THE ONE.
 
leo itakuwa ni siku yenye maumivu makubwa sana kwa kenya. jpm atazindua rasmi tazara flyover.

najua wakenya hawataweza kukaa kimya, wataongea sana, watajifanya kufananisha na flyover zao.hatutojari, sisi ni kazi tu. porojo tumewaachia wao.

licha ya kelele zao za mtandaooni, haitasaidia kuwapunguzia maumivu. maumivu yatabaki pale pale.

nakumbuka earlier last year baadhi ya wakenya walisema tz haiwezi kuwa na flyover. leo tutawakumbusha kauli zao, pia tutaweka TBT za mijadala ya last year kuhusu tazara flyover.

leo tunazinduaaaaaaa(say it loud).

Kuzindua flyover? Haaahaa. Wish you all da best anyways
 
emoji23]Hamisa anado nini kenya? She is not trending. Kwanza hakuna mtu anajua ako kenya ati analala Roysambu alafu interview anafanyia Ebru Tv yet she has a bungalow in Tz.
FB_IMG_15380288478753806.jpeg
 
Back
Top Bottom